Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKUNGA WAHIMIZWA KUSHIRIKIANA KUTENGENEZA TAIFA LA KESHO‏

Rais wa chama cha wakunga nchini (TAMA), Feddy Mwanga akimkaribisha Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wakunga duniani, Frances Ganges (kulia) kuzungumza na wakunga nchini waliokusanyika kwenye mdahalo wa siku moja kuelekea sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa imefanyika mjini Musoma mkoani Mara. Kushoto ni Kaimu Muuguzi mkuu wa serikali kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wakunga wahimizwa kushirikiana kutengeneza taifa la kesho

DSC_0228

Rais wa chama cha wakunga nchini (TAMA), Feddy Mwanga akimkaribisha Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wakunga duniani, Frances Ganges (kulia) kuzungumza na wakunga nchini waliokusanyika kwenye mdahalo wa siku moja kuelekea sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa imefanyika mjini Musoma mkoani Mara. Kushoto ni Kaimu Muuguzi mkuu wa serikali kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ama Kasangala. (Picha zote na Zainul Mzige wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAKUNGA WA JADI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WATALAM WA AFYA ZANZIBAR

Mmoja wa wakunga wa jadi Bi. Namboto Sheha Kombo akielezea jinsi wanavyofanya kazi zao za ukunga katika mkutano uliofanyika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa kaskazini "A" Unguja.Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahamoud Thabit Kombo akizungumza na wakunga wa jadi, na kuwataka washirikiane na watalaam wa Afya katika kazi zao ili kupunguza vifo vya Akinamama na watoto.Msaidizi daktari dhamana Hospitali ya Muembe ladu Ruzuna A.M. Shamte akifahamisha kitu katika mkutano wa wakunga wa jadi na watalam wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mashirika, wananchi wahimizwa kushirikiana

MASHIRIKA na taasisi za serikali na zisizo za kiserikali nchini, zimeshauriwa kujenga na kuimarisha ushirikiano bora baina yake na wananchi wakiwemo waishio vijijini katika utendaji wao wa kazi, ili kuleta...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kidoti kushirikiana na kampuni ya china kutengeneza nywele na bidhaa nyingine

MWANADADA ambaye ni mwanamitindo, mwanamuziki na mtangazaji, Jokate Mwegelo, jana amesaini makubaliano ya kushirikiana kibiashara  na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China.

Kampuni hizo mbili zitashirikiana katika kuzalisha  baadhi ya bidhaa kama nywele (wigi) , ndala, sendozi nakadhalika.

 

10 years ago

GPL

AMREF NA KCB ZASHIRIKIANA KATIKA ELIMU ZA WAKUNGA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania (kushoto)Moezz Mir akimsikiliza kwa makini  Mkurugenzi Mkazi wa  Amref Heath Africa Tanzania Dk. Festus Ilako,  jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akiongerea  juu ya ushirikiano wao na benki hiyo  katika kusaidia suala zima la Afya ya mama na mtoto nchini.  Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania (kushoto)Moezz Mir  akimkabidhi  Mkurugenzi Mkazi wa  Amref Heath...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 KESHO NDIYO KESHO TAIFA

SIKU iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa burudani mbalimbali imewadia ambapo kesho Agosti 8, katika Uwanja wa Taifa patakuwa hapatoshi wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini litakapokuwa likichukua nafasi. Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli. Akizungumza na Centre Spread, mratibu wa tamasha hilo, Luqman Maloto alisema kuwa maandalizi yote yameshafanyika na tayari mkali wa muziki kutoka Nigeria...

 

11 years ago

GPL

VODACOM KUTENGENEZA AJIRA ZAIDI YA 400 KUPITIA MADUKA YAO‏

Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto) akimkabidhi Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la Vodacom Sinza Afrika Sana, Swaum Manengelo funguo ya duka hilo kuashiria ufunguzi rasmi wa duka hilo kuanza kutoa huduma kwa wateja. Akishuhudia tukio hilo katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa kampuni hiyo, Salum Mwalim. Uzinduzi huo umefanyika hivi karibuni jijini Dar es...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wahimizwa kuutumia mkongo wa taifa

WADAU na wananchi wametakiwa kuongeza matumizi ya Mkongo wa Taifa na kuutumia vizuri ili kujenga jamii habari. Pia, wametakiwa kushirikiana kwa pamoja kuulinda kwa kuwa kumekuwa na desturi ya baadhi...

 

10 years ago

StarTV

Waliohitimu JKT wahimizwa kuyatumia kwa manufaa ya taifa

Na Magesa Magesa

Arusha

 

Vijana wanaohitimu mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria wameaswa kuyatumia mafunzo wanayoyapata katika kambi mbalimbali hapa nchini kwa faida ya Taifa.

 

Hatua hii inaelezwa kuwa kama itazingatiwa na vijana wanaohitimu mafunzo ya muda mfupi ya JKT upo uwezekano mkubwa wa taifa kuwa na vijana ambao watakuwa waadilifu pindi watakapokuwa wakilitumikia taifa.

Akizungumza na wahitimu hao Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Ntibenda amewataka kuyatumia vizuri katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani