Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WALALAMIKA KWA KUTOTAJWA KATIKA FILAMU YA FURIOUS 7

The Rock, Vin Diesel na Paul Walker ni baadhi ya majina ambayo yametajwa mwishoni mwa filamu ya kusisimua ya "Furious 7" iliyoingia sokoni hivi karibuni ... tatizo ni kwamba kuna baadhi ya watu ambao walishiriki kikamilifu kwenye matukio muhimu ya filamu hiyo ambao hawakupewa 'credit' mwishoni. Sehemu ya matukio waliyoshiriki watu hao. Vyanzo vya karibu na wazalishaji wa filamu hiyo vimeeleza kuwa watu hao walishiriki katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Muongozaji wa filamu ya Straight Outta Compton F. Gary Gray kuingoza Furious 8

Muongozaji wa filamu ya Straight Outta Compton, F. Gary Gray ataiongoza filamu ya Furious 8. Muigizaji wa filamu hiyo, Vin Diesel alipost picha Facebook akiwa na muongozaji huyo. Mtandao Deadline.com umeripoti kuwa wawili hao walifanya mkutano na kufikia makubaliano hayo. Gray alisemekana kuwa chaguo la kwanza la kampuni ya Universal. Sio jambo la kushangaza kwakuwa […]

 

5 years ago

Africanjam.Com

MOVIE TRAILER: FAST & FURIOUS 8 "FATE OF THE FURIOUS" | Official Trailer 2017 |



Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.

Lorietha Laurence -Maelezo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo  ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa  kwa kupata kibali cha kuingia sokoni  kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza  katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza  kampuni ya Al-Riyamy Production  ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za  TRA...

 

10 years ago

Bongo5

Wazazi katika shule anayosoma mtoto wa Beyonce na Jay Z walalamika, fahamu ni kwanini!

Kwa mujibu wa ripoti, wazazi kwenye shule ya awali anayosoma mtoto wa Jay Z na Beyonce huko Hollywood nchini Marekani wanachukizwa na kitendo cha Blue Ivy kupelekwa na kuchukuliwa na magari mawili na bodyguards wawili kila siku. Wazazi hao wamedai kuwa kila anapoletwa au kuchukuliwa mtoto mwingine eneo hilo hugeuka kuwa na kero kubwa. Vyanzo […]

 

10 years ago

Habarileo

Walalamika mikataba kupelekwa kwa AG

Luteni Mstaafu Chiku GallawaUTARARIBU wa kupeleka mikataba yote ya miradi ya barabara yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 50 kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), umelalamikiwa kutokana na kukwamisha miradi ya barabara katika halmashauri za Manispaa za Mkoa wa Dodoma.

 

10 years ago

Africanjam.Com

KAA TAYARI KWA "FAST AND FURIOUS 8" HII NDIO TAREHE ITAKAYOZINDULIWA..

Hata hatujaisahau Fast and Furious 7, tumeletewa habari kwamba mwendelezo unaendelea wa mfululizo wa movie hizo kwenye sehemu ya 8 ambapo Fast 8 inatarajiwa kutoka April 14th. 2017.It has already been confirmed that Dwayne “The Rock” Johnson will reprise his role as Luke Hobbs in the ‘Furious 7’ sequel and James Wan is reportedly eyed to return as director for the eighth instalment of the movie franchise.

fast 8 2

 

10 years ago

Bongo Movies

Rose Ndauka Atoa Somo Kwa Wateja Wa DCB Commercial Bank Plc Katika Filamu Desire to Succeed

Filamu ya Kuelimisha jamii Inayojulikana kama DESIRE TO SUCCEED (HAMU YA MAFANIKIO) kuzinduliwa Siku ya Jumamosi tarehe 25 Juni 2015, Saa 12.00 Jioni katika ukumbi wa CENTURY CINEMAX Dar Free Market.
MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Rose Ndauka pamoja na wasanii wengine wakali katika tasnia ya filamu wameshiriki katika sinema maalum kwa ajili ya kuelimisha jamii kuhusu huduma za Benki ya DCB Commercial Bank ambapo wateja wa Benki hiyo na wateja wapya watatambua huduma na faida...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sakata la kushushwa kwa bei za filamu.Watayarishaji filamu nao waibuka

Bodi ya Filamu kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda na Biashara, TRA, TBS, imekuwa ikifanya vikao vya ndani zaidi ya viwili sasa na wasambazaji wa filamu ili kuzungumzia suala ya bei ya filamu. “Tunaiomba serikali kupitia vyombo vyake vyote vinavyoshiriki haya masuala ya filamu, kusifanyike mkutano wa aina yoyote ile kuzungumzia bei ya filamu bila kushirikisha maprodyuza, sisi ndiyo wenye filamu na ndiyo tunaotengeneza sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani