Walevi wakojoa kwenye visima vya kanisa
VISIMA vilivyochimbwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika kijiji cha Msiha wilayani Mbozi vimegeuzwa vyoo vya walevi, imeelezwa. Kugeuzwa kwa matumizi ya visima hivyo vilivyochimbwa mwaka jana kumetokana na pampu zake kutokuwa imara kiasi kwamba ziliharibika muda mfupi tu tangu kufungwa kwake na baadhi ya wakazi kuzing’oa na kuviacha visima vikiwa wazi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Waasi waviteka visima vya mafuta Libya
9 years ago
StarTV19 Aug
Visima vya maji Iringa vyatajwa kusababisha vifo
Kukithiri kwa visima vya maji katika eneo la Changalawe mjini Mafinga wilayani Mufindi mkoani Iringa kumetajwa kusababisha vifo visivyo vya lazima kwa wananchi kutokana na eneo hilo kutokuwa na huduma ya maji ya bomba.
Umuhimu wa huduma ya maji unawalazimu wakazi wa Changalawe kubuni njia mbadala ya kupata maji jirani kwa kuchimba visima nje ya nyumba zao jambo ambalo limetajwa kuhatarisha maisha mara kwa mara.
Baadhi ya visima hivyo vinaurefu zaidi ya futi 15 kwenda chini, jambo ambalo ni...
11 years ago
Michuzi31 Jul
MH. MAKALLA AKAGUA MIRADI YA VISIMA VYA MAJI MKURANGA
![](https://4.bp.blogspot.com/-LYrhx1PyvJ0/U9pucLRjeXI/AAAAAAAArYU/RkEVQ9jnpBY/s1600/Picture+001.jpg)
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Dar hatarini kwa unga wa lishe, visima vya maji
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
![](http://3.bp.blogspot.com/-sGDd74hOiZI/VCKCLkkJ18I/AAAAAAAAAFo/CtwEZNVhxy0/s1600/TBL%2B5.jpg)
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Naibu Waziri Makalla akagua Miradi ya Visima vya Maji Mkuranga
![](http://4.bp.blogspot.com/-LYrhx1PyvJ0/U9pucLRjeXI/AAAAAAAArYU/RkEVQ9jnpBY/s1600/Picture+001.jpg)
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kulia), akipata maelezo kutoka kwa kiongozi wa Mafundi wa Kampuni ya CDM Smith, John Donoherth, kuhusu ujenzi wa kisima kilichopo Mkwalia Mkuranga ambacho ni moja kati ya visima 8 vinavyofanyiwa utafiti maji wilayani humo. Makalla alifanya ziara ya kukagua miradi ya maji wilayani Mkuranga mkoani Pwani leo. Pia alikagua mradi wa kisima cha maji cha Nyamato chenye uwezo wa kutoa maji lita 26,000 kwa saa kitakachohudumia wakazi wa vijiji vya Mvuleni,...
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
9 years ago
Bongo501 Dec
Hapa Kazi Tu: Said Fella achimba visima vilivyokwama kwa miaka mitatu kwenye kata ya Kilungule (Picha)
![20151130234938](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151130234938-300x194.jpg)
Kasi ya Rais Dkt John Magufuli ya kupiga kazi tu imewaambukiza viongozi wengi.
Muasisi wa Mkubwa na Wanawe, Said Fella ambaye pia ni diwani wa kata ya Kilungule ya wilayani Temeke, Dar es Salaam ameanza kutekeleza ahadi zake.
Fella ameiambia Bongo5 kuwa ameanza kwa kuvirejesha visima vilivyokuwa vimeshindwa kutoa maji kwa miaka mitano iliyopita. Chini ni picha za kazi hiyo.
Amesema wakati wa kampeni aliahidi kuwa angeanza kushughulikia kero ya maji kwenye kata yake ndani ya siku 30....
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI SAFI NA SALAMA MKOANI SINGIDA
![](http://1.bp.blogspot.com/-WuKigAmZbnA/U2eeQYPqxhI/AAAAAAAA-S4/fHvcQBosT3A/s1600/s11.jpg)