WALIMU WA SEKONDARI WAKIANGALIA KWENYE MTANDAO VITUO VYAO VYA KAZI WALIVYOPANGIWA
Walimu wa sekondari wakiwa duka la Kwetu Net (Internet Cafe) mjini Iringa leo wakiangalia kwenye mtandao halmashauri walizopangiwa kwenda ambako watapangiwa shule za kufanyia kazi leo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Mkuu wa Wilaya awatoa hofu walimu wanaopangiwa vituo vya kazi vijijini
Mkuu wa Wilaya Sengerema Bi. Karen Yunus, akisaini kitabu cha wageni baada ya kukagua mradi wa Maji Wilayani Sengerema sambamba na kukagua maabara shule ya Sekondari Migukulama pamoja na Choo cha shule hiyo.(picha zote na Daniel Makaka-Sengerema).
Na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema
MKUU wa Wilaya ya Sengerema, Bi Karen Yunus amewatoa hofu walimu wanaopangiwa maeneo ya kazi vijijini kutoogopa vituo vyao vya kazi kwa kuwa serikali imejipanga vizuri kuwahudumia.
Hayo yamesemwa hivi...
11 years ago
MichuziWAMACHINGA WANAOFANYA KAZI ZAO KWENYE VITUO VYA DALADALA NA MABASI DODOMA KUONDOLEWA
Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Robert Kitimbo akielezea jambo katikakikao...
5 years ago
BBCSwahili11 May
Virusi vya corona: Je roboti zinatumika vipi kwenye vituo vya Covid-19 Rwanda?
10 years ago
Habarileo14 Feb
Watumishi wasioripoti vituo vya kazi waonywa
WATUMISHI wa Serikali katika kada mbalimbali wilayani Kaliua Mkoa wa Tabora wanaokwepa kuripoti katika vituo vyao vipya vya kazi kwa visingizio mbalimbali, wametakiwa kuacha tabia hiyo mara moja, kwani kama mtumishi wa serikali unatakiwa kuwa tayari kutumika sehemu yoyote ile.
10 years ago
MichuziMahiza aagiza wakurugenzi kutofungua sekondari zisizo na vyoo vya walimu na wanafunzi Mkoani lindi
Mkuu wa mkoa wa Lindi,Mwantumu Mahiza amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zilizopo katika mkoa huu wahakikishe shule zote za sekondari ambazo hazina vyoo kwa ajili ya matumizi ya walimu wa shule hizo zijenge kabla hazijafunguliwa.
Mahiza alitoa agizo hilo katika kijiji cha Kilimarondo wilayani Nachingwea katika ziara yake ya siku tatu wilayani Nachingwea.Ambapo alikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ujenzi wa maabara kwenye shule za...
10 years ago
Michuzi24 Mar
9 years ago
Dewji Blog04 Oct
JK ateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba.
Wakuu wa wilaya 13 walioteuliwa ni Shaaban Athuman Ntanambe ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mkoa wa Kagera; Thabisa Mwalapwa ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Mkoa wa Manyara; Richard Kasesera ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mkoa wa Iringa, Ruth Msafiri ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma na...
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
JK amemteua mkuu mpya mmoja wa mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine sita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine sita kuanzia jana, Jumamosi, Desemba 6, 2014.
Taarifa iliyotolewa leo, Jumapili, Desemba 7, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue mjini Dar es Salaam inasema kuwa Rais amemteua Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, Ndugu Daudi Felix Ntibenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Ndugu Ntibenda ataapishwa kesho, Jumatatu, Desemba 8,...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Majina ya wakuu wa wilaya wapya na vituo vyao kama yalivyotangazwa na Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda.
ORODHA YA MA-DC 18.02.2015.doc by moblog