Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wapinga kukatwa mshahara

Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch Wakati Ikulu ikikana Rais Jakaya Kikwete kuagiza watumishi wa serikali kuchangishwa fedha, Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimepinga walimu kukatwa mishahara kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maabara za shule za sekondari. Katika tamko lake, CWT imewaonya wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kujiandaa kukabiliana na mkono wa sheria wasipositisha zoezi la kuwakata walimu mishahara yao kwa ajili hiyo na kuwataka kurejesha mara moja fedha zote...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe ‘feki’ kukatwa mshahara

Ofisi ya Bunge la Katiba, imemwandikia barua mwajiri wa Amina Mweta, ambaye alisaini posho ya Bunge hilo ili akatwe posho aliyoichukua katika mshahara wake.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,utakubali mshahara wako kukatwa na kupewa mzazi wako?

Sera isio ya kawaida na ambayo imeanzishwa na kampuni moja nchini Uchina kwa wafanyikazi kutoa kiwango kidogo cha mishahara yao kwa wazazi wao imezua mjadala mkubwa

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Songea walilia mshahara

WALIMU wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, wameulalamikia uongozi wa manispaa hiyo kwa kushindwa kuwalipa mishahara ya Februari mwaka huu kwa madai kuwa orodha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Walimu 245,000 kukosa mshahara Kenya

Zaidi ya walimu 245,000 hawatapata mishahara yao mwezi huu,kufuatia mgomo wa nyongeza ya mishahara unaondelea kwa wiki ya sita sasa kulingana na gazeti la nation nchini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Chunya wapinga kaulimbiu ya serikali

WALIMU wilayani Chunya mkoani Mbeya, wamepinga kaulimbiu ya serikali ya Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now – BRN), kwa madai kuwa serikali haiwathamini. Wakizungumza na Tanzania Daima kwa nyakati tofauti...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mshahara wa dhambi ni mauti!

RAIS wangu, maandiko yanasema mshahara wa dhambi ni mauti. Kwakuwa tulikubali kuitenda dhambi basi mauti yetu ni stahiki yetu! Nchi imeelemewa na mizigo yakuletewa. Miongoni mwetu wako watu fahamu zao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani