Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu Songea walilia mshahara

WALIMU wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, wameulalamikia uongozi wa manispaa hiyo kwa kushindwa kuwalipa mishahara ya Februari mwaka huu kwa madai kuwa orodha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

Walimu wapinga kukatwa mshahara

Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch Wakati Ikulu ikikana Rais Jakaya Kikwete kuagiza watumishi wa serikali kuchangishwa fedha, Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimepinga walimu kukatwa mishahara kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maabara za shule za sekondari. Katika tamko lake, CWT imewaonya wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kujiandaa kukabiliana na mkono wa sheria wasipositisha zoezi la kuwakata walimu mishahara yao kwa ajili hiyo na kuwataka kurejesha mara moja fedha zote...

 

9 years ago

BBCSwahili

Walimu 245,000 kukosa mshahara Kenya

Zaidi ya walimu 245,000 hawatapata mishahara yao mwezi huu,kufuatia mgomo wa nyongeza ya mishahara unaondelea kwa wiki ya sita sasa kulingana na gazeti la nation nchini humo.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

9 years ago

StarTV

Wadau walilia ukiukwaji wa sheria

Wakati Serikali ikieleza nia ya kuhakikisha wananchi wanamiliki ardhi kwa kulegeza masharti ya umiliki, baadhi yao wanadai kuwa bado kuna ukiukwaji mkubwa wa sheria na masharti hayo hayajalegezwa hali inayoendelea kuwaathiri wengi.

Wameitaka Serikali kuhakikisha uwepo wa ardhi ya kutosha kwa ajili ya wazawa kabla ya kuigawa kwa wawekezaji ili nao waweze kufaidika na rasilimali hiyo nyeti.

Miongoni mwa wananchi waliozungumza na Star Tv kwenye tamasha la wanawake, linalofanyika kwenye viwanja...

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimbaji wadogo ‘walilia’ leseni

Zaidi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu 7000 wilayani Nzega mkoani Tabora wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini kuwapatia leseni ya uchimbaji katika mgodi mdogo wa dhahabu wa Mwanshina, uliopo pembezoni mwa mgodi mkubwa wa dhahabu wa Resolute.

 

10 years ago

Mtanzania

Wananchi Kilombero walilia umeme

Na Mwandishi Wetu, Kilombero
WANANCHI wa Kijiji cha Mpanga wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamelalamikia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushindwa kufikisha umeme katika shule ya Sekondari ya Mtenga kijijini hapo.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, wananchi hao walisema hawaelewi kwa nini shule hiyo imeondolewa katika orodha ya shule zinazotarajia kupata umeme licha ya umuhimu uliopo hususan suala la matumizi ya maabara.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi hao, mkazi wa kijiji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kibara B walilia ardhi yao

WANAKIJIJI cha Kibara B, wilayani Bunda, Mara, wamedai halmashauri ya wilaya hiyo kupitia kwa Idara ya Ardhi imemmilikisha ardhi mwekezaji mwenye mashine za kusaga na kuchukua mapato ya kijiji hicho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani