Waliobebwa Uhamiaji watimuliwa
WATUMISHI 228 wa Idara ya Uhamiaji wa ngazi ya Konstebo na Koplo, walioshinda usaili na kuitwa kazini, wamefukuzwa kazi. Hatua hiyo imetangazwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Mbarak Abdulwakil, baada ya kubainika kuwa baadhi ya watumishi hao, waliajiriwa kwa upendeleo kwa kuwa walikuwa ndugu, jamaa na watoto wa waliowasaili.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMaelezo ya Mwanasheria wa Uhamiaji kuhusu sheria mpya za uhamiaji nchini Marekani
Moja wapo lilikuwa ni maelezo ya mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie kuhusu maamuzi mapya ya serikali ya Marekani kwenye sheria za uhamiaji.
Karibu umsikilize
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xkD01DKzp4U/VQmAnaOP8zI/AAAAAAAHLSM/Tafk-bsZ7ps/s72-c/unnamed.jpg)
Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...
11 years ago
Michuzi29 Jul
11 years ago
BBCSwahili07 Mar
Wanadiplomasia watimuliwa Venezuela
10 years ago
Habarileo27 Dec
Waliohujumu Chadema watimuliwa
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewatimua wanachama wake 42 wakiwemo wagombea walioshindwa kupita kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa hivi karibuni.
11 years ago
Habarileo08 Aug
Maofisa uvuvi watimuliwa
MAOFISA uvuvi watatu wilayani Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza, wamefukuzwa kazi kwa madai ya kughushi vitabu vya leseni na kujipatia fedha kinyume cha sheria.
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Wafanyakazi wa kigeni watimuliwa Sudan:K
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Askari wanafunzi 212 watimuliwa
WANAFUNZI 212 wa mafunzo ya awali ya uaskari katika Chuo cha Taaluma ya Polisi mjini Moshi (MPA), wamefukuzwa baada ya kufanya udanganyifu katika vyeti vyao vya elimu na kubainika kuwa...
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
Wanajeshi 2 wa Cameroon watimuliwa kazi