Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walioharibiwa nyumba na upepo wapewa msaada

IDARA ya Huduma za Maendeleo ya Jamii na Maafa ya Kanisa Katoliki (CARITAS) Jimbo la Sumbawanga mkoani Rukwa imetoa msaada kwa wakazi wa kijiji cha Kakese ambao nyumba zao ziliharibiwa vibaya na upepo mkali na kusababisha zaidi ya familia 30 kukosa makazi hivi karibuni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Upepo waezua nyumba 45

ZAIDI ya kaya 45 zimekosa makazi baada ya nyumba zao kuezuliwa mapaa na upepo mkali ulioambatana na mvua ya mawe, hali iliyosababisha wakose mahali pa kuishi. Majanga hayo yalitokea mwishoni...

 

11 years ago

Habarileo

Upepo waezua nyumba 30 Makadara, Bububu

UPEPO mkali ulioambatana na ngurumo na mvua, umesababisha nyumba za wananchi kadhaa kuezuliwa mabati na miti kuanguka.

 

5 years ago

CCM Blog

NYUMBA ZAIDI YA 20 ZAEZULIWA NA UPEPO MKALI KIMARA GOLANI

  NA ANDREW CHALE, DAR

UPEPO mkali na mvua iliyoambatana na radi imesababisha nyumba zaidi ya 20 kuezuliwa mapaa huku Kaya 50 zikikosa makazi.

Tukio hilo la aina yake limetokea leo katika eneo la Kimara Golani kwa 'Bibi Rosta'  mwandishi wa habari hizi ameshuhudia nyumba 19 zikiwa zimezuliwa paa za nyumba huku nyumba moja ikiwa imebomoka ukuta.

Katika tukio hilo nyumba mmoja iliyobomoka imeweza kujeruji mtu mmoja aliyekuwa ndani.

Mashuhuda:
"Tunashukuru mvua wakati inanyesha nyumba nyingi...

 

10 years ago

Vijimambo

UPEPO MKALI WAATHIRI NYUMBA KISIWA PANZA PEMBA

Viongozi wa Serikali ya Mkoa wa kusini Pemba wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla na Mkuu wa Wilaya ya Mkaoni Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, wakizungumza na mbunge wa jimbo la Mkanyageni Habibu Mnyaa wakati walipokuwa wakivuka kuelekea kisiwa Panza kwa lengo la kuwafariji wananchi waliopatwa na maafa ya nyumba zao kuezuliwa na upepe.Miongoni mwa nyumba zilizokumbwa na maafa kufuatia upepo mkali uliovuma usiku wa kuamia Aprili 22 mwaka huu, huko katika kisiwa Panza Wilaya...

 

11 years ago

Michuzi

Upepo Mkali waathiri nyumba Kwaalamsha, Makadara na Mkele, Wilaya ya Mjini, Zanzibar

Na Othman Khamis Ame wa OMPR Jamii Nchini imetahadharishwa kuwa makini katika kipindi hichi kilichoanza cha msimu wa mvua za masika ambacho kimezoeleka kuwa na matukio mbali mbali ya maafa yanayoleta athari kwa wananachi.  Tahadhari hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Maafa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akiwafariji wananchi waliokumbwa na maafa kufuatia Upepo Mkali ulioambatana na mvua jana jioni katika maeneo ya Kwaalamsha, Makadara na Mkele ndani ya Wilaya ya Mjini....

 

10 years ago

Habarileo

Wasanii 16 wapewa nyumba ‘kijijini’

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umegawa nyumba nyingine 16 kwa wanachama wake waliokamilisha ujenzi ambako mpaka sasa wanachama 120 wamekabidhiwa nyumba zao katika kijiji cha Wasanii cha Mwanzega, Mkuranga.

 

11 years ago

Michuzi

Familia yaishi chooni ni baada ya nyumba yao kuezuliwa na upepo wilayani Hai, Kilimanjaro

 Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.  Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.
 Nyumba ambayo familia ya Aziza Maohamed ilikuwa ikiishi awali kabla ya kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua katika kitongoji cha Kijweni...

 

11 years ago

GPL

MKURANGA WAPEWA MSAADA WA KISIMA

Bi. Fatuma akizindua kisima hicho. Pembeni ni wanakijiji na waumini wakishuhudia.
   Muonekano wa kisima.…

 

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA UPEPO MKALI KATA YA IZAZI MKOANI IRINGA

 Meneja wa Tawi la NMB Mkwawa,Sumka Mbuba pamoja na  Afisa Mikopo Grace Ndosa  wakishusha vyakula vyenye thamani ya shilingi milioni tano kutoka kwenye gari ili kukabidhi kwa waathilika wa upepo mkali ulioacha familia nyingi bila makazi na chakula katika kata ya Izazi mkoani Iringa. Msaada huo ulitolewa na Benki ya NMB. Maofisa wa benki ya NMB tawi la Mkwawa wakikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iringa vijijini, Stevene Mhapa (Pili kushoto). Msaada huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani