Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYUMBA ZAIDI YA 20 ZAEZULIWA NA UPEPO MKALI KIMARA GOLANI

  NA ANDREW CHALE, DAR

UPEPO mkali na mvua iliyoambatana na radi imesababisha nyumba zaidi ya 20 kuezuliwa mapaa huku Kaya 50 zikikosa makazi.

Tukio hilo la aina yake limetokea leo katika eneo la Kimara Golani kwa 'Bibi Rosta'  mwandishi wa habari hizi ameshuhudia nyumba 19 zikiwa zimezuliwa paa za nyumba huku nyumba moja ikiwa imebomoka ukuta.

Katika tukio hilo nyumba mmoja iliyobomoka imeweza kujeruji mtu mmoja aliyekuwa ndani.

Mashuhuda:
"Tunashukuru mvua wakati inanyesha nyumba nyingi...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UPEPO MKALI WAATHIRI NYUMBA KISIWA PANZA PEMBA

Viongozi wa Serikali ya Mkoa wa kusini Pemba wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla na Mkuu wa Wilaya ya Mkaoni Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, wakizungumza na mbunge wa jimbo la Mkanyageni Habibu Mnyaa wakati walipokuwa wakivuka kuelekea kisiwa Panza kwa lengo la kuwafariji wananchi waliopatwa na maafa ya nyumba zao kuezuliwa na upepe.Miongoni mwa nyumba zilizokumbwa na maafa kufuatia upepo mkali uliovuma usiku wa kuamia Aprili 22 mwaka huu, huko katika kisiwa Panza Wilaya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wolper asaidia wananchi wa Golani Kimara

wolper2

Wolper asaidia wananchi wa Golani Kimara

“Kuanzia mwaka juzi nimekua na desturi ya kushirikiana na watu siku yangu muhimu ya kuzaliwa
Mwaka juzi nilipata nafasi ya kukaa na watoto yatima na mwaka jana kituo cha wazee
Mwaka huu nimeamua kugusa maisha ya watu wengi zaidi
Kwahivyo kwa kutafakari jinsi gani tatizo la maji ni kubwa, nimeamua kutumia kidogo nilichonacho kujenga kisima chenye uwezo wa kuhudumia watu 3500 katika shule ya msingi eneo la Golani Kimara.
Wananchi wa huku wamekua...

 

11 years ago

Michuzi

Upepo Mkali waathiri nyumba Kwaalamsha, Makadara na Mkele, Wilaya ya Mjini, Zanzibar

Na Othman Khamis Ame wa OMPR Jamii Nchini imetahadharishwa kuwa makini katika kipindi hichi kilichoanza cha msimu wa mvua za masika ambacho kimezoeleka kuwa na matukio mbali mbali ya maafa yanayoleta athari kwa wananachi.  Tahadhari hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Maafa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akiwafariji wananchi waliokumbwa na maafa kufuatia Upepo Mkali ulioambatana na mvua jana jioni katika maeneo ya Kwaalamsha, Makadara na Mkele ndani ya Wilaya ya Mjini....

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ATEMBELEA KIJIJI CHA FUKUCHANI KUANGALIA MAAFA YALIYOWAKUMBA WANANCHI BAADA YA NYUMBA ZAO KUEZULIWA NA UPEPO MKALI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kati kati aliyevaa suti ya kijivu jivu akiangalia athari iliyozikumba nyumba za Wakaazi wa Kijiji cha Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya upepo mkali wa ghafla uliovuma kwa adakika Tatu jana asubuhi. Kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Kanal Mstaafu Juma Kassim Tindwa na Kushoto yake ni Sheha wa Shehia ya Fukuchani Bwana Abdulla Mcha Ame. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimkabidhi Mabati 1,000 ...

 

10 years ago

Habarileo

TMA yahadharisha ujio wa upepo mkali

MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imesema kutakuwa na upepo mkali unaoambatana na mawimbi makubwa katika maeneo yote ya ukanda wa Pwani kwa siku mbili kuanzia kesho.

 

10 years ago

GPL

UPEPO MKALI ENEO LA POSTA DAR

KAMERA ya GPL imeshuhudia   uzio wa mabati uliozungushiwa katika kiwanja kimoja kilichopo Posta barabara ya Samora ukianguka baada ya upepo mkali kuvuma. Uzio huo haukuleta madhara yoyote kwa wapita njia na wale waliokuwa jirani na eneo hilo. Na Gabriel…

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA: Mvua kubwa, upepo mkali waja

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani