Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wolper asaidia wananchi wa Golani Kimara

wolper2

Wolper asaidia wananchi wa Golani Kimara

“Kuanzia mwaka juzi nimekua na desturi ya kushirikiana na watu siku yangu muhimu ya kuzaliwa
Mwaka juzi nilipata nafasi ya kukaa na watoto yatima na mwaka jana kituo cha wazee
Mwaka huu nimeamua kugusa maisha ya watu wengi zaidi
Kwahivyo kwa kutafakari jinsi gani tatizo la maji ni kubwa, nimeamua kutumia kidogo nilichonacho kujenga kisima chenye uwezo wa kuhudumia watu 3500 katika shule ya msingi eneo la Golani Kimara.
Wananchi wa huku wamekua...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NYUMBA ZAIDI YA 20 ZAEZULIWA NA UPEPO MKALI KIMARA GOLANI

  NA ANDREW CHALE, DAR

UPEPO mkali na mvua iliyoambatana na radi imesababisha nyumba zaidi ya 20 kuezuliwa mapaa huku Kaya 50 zikikosa makazi.

Tukio hilo la aina yake limetokea leo katika eneo la Kimara Golani kwa 'Bibi Rosta'  mwandishi wa habari hizi ameshuhudia nyumba 19 zikiwa zimezuliwa paa za nyumba huku nyumba moja ikiwa imebomoka ukuta.

Katika tukio hilo nyumba mmoja iliyobomoka imeweza kujeruji mtu mmoja aliyekuwa ndani.

Mashuhuda:
"Tunashukuru mvua wakati inanyesha nyumba nyingi...

 

5 years ago

Michuzi

RC Wangabo asaidia nguvu za wananchi katika utekelezaji wa mwaka wa mtoto Rukwa.


 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akishiriki na Wananchi katika kusafisha eneo la Shule ya Msingizi Shikizi ya kijiji cha Majengo.Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akishiriki na Wananchi wa Kijiji cha Lyazumbi katika Ujenzi wa machimo ya vyoo vya wanafunzi (hayapo pichani) vya Shule ya Msingi Shikizi katika kijiji cha Lyazumbi, kata ya Paramawe Wilayani Nkasi******************************

Katika kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya kusoma bila ya...

 

5 years ago

CCM Blog

DC UBUNGO ATEMBELEA KATA ZA KIMARA NA SARANGA KUONA ATHARI NA KUWAPA POLE WANANCHI KWA MAAFA YA MVUA YALIYOWAPATA

UBUNGO, Dar es Salaam
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori ametembelea Kata za Kimara na Saranga ili kuona athari na kuwapa pole wananchi kutokana maafa yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo ya Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, juzi.

Mkuu wa Wilaya aliongozana na viongozi mbalimbali akiwemo Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo Diana Nkarage.

DC Makori aliwaambia wananchi wa Mtaa wa Golani Kata ya Kimara kuwa amefika kwao ili kujuliana hali na kuwapa pole wale wote...

 

9 years ago

Mtanzania

Nonini asaidia albino

noniniNA BADI MCHOMOLO

MKALI wa wimbo wa ‘Wanajishuku’ aliomshirikisha Dj Pierra Makena na Chege kutoka Tanzania, Hubert Nakitare ‘Nonini’  wa Kenya, ametumia kiasi kikubwa cha fedha zake kununua nguo na miwani kwa ajili ya kuwasaidia albino.

Hata hivyo, msanii huyo amewataka wasanii wenzake na watu maarufu wajitokeze kuwasaidia walemavu badala ya kutumia fedha zao katika matukio ya ulevi na anasa nyingine.

“Watu maarufu wanatakiwa wajitolee kwa jamii zao, wakiwemo walemavu, si kutumia fedha zao...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!

"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani asaidia uji shuleni

DIWANI wa Levelosi, Ephata Nanyaro (CHADEMA), ametoa msaada wa unga, mahindi na sukari kwenye Shule ya Msingi Levelosi ili kuwawezesha wanafunzi kupata uji nyakati za mchana baada ya serikali kushindwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Diwani CCM asaidia uchaguzi wa mitaa

Diwani wa Kata ya Vijibweni (CCM) , Suleiman Methew amekabidhi msaada wa pikipiki mbili zenye thamani ya zaidi ya Sh3 milioni ili kusaidia harakati za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Koka asaidia vikundi vya ujasiriamali

MBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka, ametumia zaidi ya sh milioni 150 kuwezesha vikundi vya ujasiriamali vilivyopo katika jimbo lake, ikiwa ni pamoja na vikundi vya wanawake na vijana. Koka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani