Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliokufa kwa tetemeko china ni 380

Wafanyakazi wa Uokoaji nchini China wanaendelea kujitahidi kufikia eneo la lilipigwa na tetemeko la ardhi katika jimbo la Yunnan.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TETEMEKO LAUA 150 CHINA

TAKRIBANI watu 150 wamepoteza maisha huku 1,400 wakijeruhiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea katika Jimbo la Yunnan lililopo kusini-magharibi mwa China leo. Tetemeko hilo lililokuwa na ukubwa wa richa 6.5 limesababisha kubomoka kwa majengo yakiwemo mashule. Waokoaji wakiwa wamembeba mtoto aliyejeruhiwa baada ya tetemeko hilo.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Idadi ya waliokufa China yaongezeka

Idadi ya watu waliouawa kwenye milipuko mikubwa katika bandari ya Tinjian nchini China siku ya Jumatano imeongezeka hadi watu 85

 

10 years ago

Vijimambo

WALIOKUFA MLIPUKO WA CHINA WAFIKIA WATU 50, MAJERUHI 700

 Mlipuko mkubwa uliotokea katika mji wa Tianjin kaskazini mwa China umeuwa watu 50 huku wengine wapatao 700 wakijeruhiwa. Moshi mweusi bado umetanda kutoka ghala hilo lililopo katika mji wa bandari wa Tianjin ambako milipuko ilitokea jana usiku.
 Mabweni ya wahamiaji yaliporomoka kutokana na milipuko hiyo. Video zilizowekwa katika mitandao ya kijamii zinaonyesha moto mkubwa na wingu kubwa la moshi lililotanda angani. Mlipuko huo mkubwa katika mji wa China Tianjin-ambao ni mji wa Bandari kuu...

 

5 years ago

Michuzi

WANYAMA 380 WAMEKUFA KWA KUGONGWA NA MAGARI NDANI YA MWAKA MMOJA 2019


WANYAMA 380 wamekufa kwa kugongwa na magari  ndani ya mwaka mmoja 2019 katika eneo la mapito ya wanyama kuanzia Magugu wilayani Babati hadi Makuyuni wilayani Monduli ambayo husaidia wanyama kwenda hifadhi ya tarangire na hifadhi ya Manyara.

Mtafiti wa wanyamapori katika mradi wa Simba Tarangire, Dk Bernard Kissui alitoa taarifa hizo juz katika kikao cha kujadili kuokoa eneo la mapito ya wanyama kwa kuchinja hadi Mdori ambalo linaendelea kuvamiwa .

Dk Kissui alisema kati ya januari hadi...

 

5 years ago

Michuzi

HAKUNA WATU 92 WALIOKUFA KWA CORONA MOROGORO KWA WIKI MOJA ILIYOPITA





************************************

Na. WAMJW-Morogoro

Serikali imekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya mitandao ya kijamii zinazosema kuwa watu 92 wamekufa mkoani kwa corona katika kipindi cha wiki moja iliyopita na kuzikwa kwenye makaburi ya Kola yaliyopo katika manispaa ya Morogoro

Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi mkoani hapa mara baada ya kutembelea eneo hilo la makaburi na kufanya uchunguzi wa kuyaona makaburi hayo kama yanavyotangazwa

“Kumekuwepo na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Idadi ya waliokufa kwa Ebola yaongezeka

Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Ebola imeongezeka maradufu

 

10 years ago

Mtanzania

Waliokufa kwa mafuriko Dar wafikia 12

KOVAAsifiwe George na Mgeni Shabani (EWTC)Dar es Salaam
IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na athari za mvua na mafuriko Dar es Salaam imeongezeka kutoka wanane na kufikia 12.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema jana kuwa kati ya watu hao mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 35-38, mwili wake ulipoolewa baada ya kuzama kwenye tope katika mto Msimbazi, Magomeni.
Alisema mwili huo wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa...

 

10 years ago

GPL

WHO: WALIOKUFA KWA EBOLA WAFIKIA 8,795

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetoa takwimu mpya za ugonjwa wa Ebola ambapo mpaka sasa watu 8,795 wamefariki huku 22,057 duniani kote wakiwa wameambukizwa virusi vya ugonjwa huo. Katika takwimu hizo, nchi ya Sierra Leone ina jumla ya watu 10,518 wenye virusi vya Ebola, Liberia watu 8,622 na Guinea 2,917. Nchi nyingine ambazo maambukizi yake yapo chini ni Nigeria yenye maambukizi ya watu 20 huku vifo vya watu nane...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani