WALIOTOKA NA KUINGIA KLABU KUBWA ENGLAND

ARSENAL WALIOINGIA Alexis Sanchez (Barcelona, Pauni Milioni 30), Calum Chambers (Southampton, Pauni Milioni 12), Mathieu Debuchy (Newcastle, Pauni Milioni 10), David Ospina (Nice, Pauni Milioni 3), Danny Welbeck (Manchester United, Pauni Milioni 16) WALIOONDOKA Thomas Vermaelen (Barcelona, Pauni Milioni 15), Johan Djourou (Hamburg, dau halijatajwa), Thomas Eisfeld (Fulham, dau halijatajwa), Bacary Sagna (Manchester City,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili20 Mar
Klabu za England hoi kimataifa
10 years ago
BBCSwahili07 Aug
Klabu ipi maarufu zaidi Afrika ligi ya England?
10 years ago
Bongo Movies06 Jul
Changamoto za Walemavu Ndiyo Sababu Kubwa ya Wastara Kuingia Kwenye Siasa
Naitwa Wastara Juma kama watanzania wenzengu mnavyonifahamu mimi ni muigizaji wa filamu na kazi nyingine zinazohusiana na kiwanda cha filamu. leo niongee kitu ili watanzania wenzangu muelewe kwanini nimeamua kujiingiza kwenye siasa, kikubwa kilichonisukuma kuingia kwenye siasa ni jambo moja kubwa sana kwangu ambalo ni (WALEMAVU) .
Huwezi kusimulia uchungu wa mwana wakati haujawahi kuzaa huwezi kumzunguzia au kumtetea mlemavu hali ya kuwa hujui uchungu, matatizo na maumivu yake,, Mpaka sasa...
11 years ago
GPL
LISTI YENYE KLABU ZENYE THAMANI KUBWA ULAYA, BAYERN KINARA, MADRID WANAFUATIA
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Kampuni ya matangazo ya Right Here nchini yapata mwekezaji mpya na kuingia ubia na kampuni kubwa ya kimataifa
Mshauri Mkuu wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Gerard Govaerts akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari katika Ukumbi wa mikutano katika Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam leo, Kushoto ni Mkuu wa Hati Miliki wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Asnath Heriel na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa RIGHT HERE TANZANIA Jenny Woodier.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es...
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Mahujaji waliotoka Kenya warejea nyumbani
11 years ago
Michuzi
Twanga kuwatambulisha waliotoka Extra Bongo na Malaika,Idd Mosi

Hayo yalisemwa na kiongozi wa bendi hiyo Luizer Mbutu kwnye mazoezi ya bendi hiyo yanaoyendelea kwenye ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jana. Mbutu aliwataja wanenguaji hao kuwa ni Maria Soloma, Sabrina Mathew na Isaack Burhani maarufu kwa jina la Danger Boy. Mnenguaji aliyetokea bendi ya...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa kumsajili Mbwana Samatta
Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kushika kasi, Samatta anatajwa kuwa katika mpango wa kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya,mara tu dirisha dogo la usajili la mwezi January litakapofunguliwa. Headlines ambazo zimenifikia kutoka katika mtandao wa www.voetbalkrant.com zinaripo nyota […]
The post Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa...
9 years ago
Africanjam.Com
SUPPORTERS NAME ENGLAND CAPTAIN WAYNE ROONEY ENGLAND PLAYER OF THE YEAR
