Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliozaa wakiwa shuleni kusakwa warudi darasani

Paza MwamlimaWILAYA ya Mpanda mkoani Katavi itafanya operesheni maalumu ya kuwasaka, kuwakamata na kuwarejesha shuleni wanafunzi wote waliokatiza masomo kwa utoro na ambao tayari wameshazaa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

WANAFUNZI WAPIGWA NA RADI WAKIWA SHULENI

WANAFUNZI 17 wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Kabuhoro wilayani Ilemela mkoani hapa, wamejeruhiwa na wengine kupata mshtuko kutokana na radi kubwa iliyopiga jana asubuhi.
Wanafunzi hao walikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure, ambapo walipatiwa matibabu na hali zao zinaendelea vizuri.

Akizungumza kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola alithibitisha tukio hilo.

Alisema wanafunzi watatu hadi jana mchana walikuwa wakiendelea na...

 

10 years ago

GPL

WALIOZAA NA NAY WAFUTA BIFU LAO

Musa Mateja/Ijumaa
Mabinti wawili waliozaa na msanii wa muziki, Emmanuel Elbarik ‘Nay wa Mitego’, Siwema na Skyna Ally ambao awali ilidaiwa walikuwa na bifu zito, sasa wameamua kuwa mashosti.Ijumaa hivi karibuni liliwanasa wawili hao kwenye Ukumbi wa Escape One, Msasani jijini Dar wakiwa beneti kama mtu na mke mwenza na lilipotaka kuzungumza nao wote walichenga na kutaka waachwe. Mrembo aliyezaa na msanii wa...

 

9 years ago

Bongo5

Lulu akerwa na headline ya gazeti ‘Mastaa waliozaa watoto wenye sura mbaya’

Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekerwa na makala iliyoandikwa na gazeti moja la nchini yenye kichwa cha habari ‘Watoto wa mastaa wenye sura mbaya.’ Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lulu ameandika: Hivi dunia Imekuwaje!? Hiki kichwa cha habari. Gazeti linalosomwa na mamilioni ya watu unaandika upuuzi kama huu!? Ni basi tu hao watu mliwaandika […]

 

10 years ago

Vijimambo

ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...

 

11 years ago

GPL

DARASA: NARUDI DARASANI

Staa Shariff Sadick Ramadhan ‘Darasa’ (kulia) wakati akihojiwa na Mic Queen, Pamela Daffa ndani ya Global TV. Stori: ANDREW CARLOS
STAA wa Sikati Tamaa, Shariff Sadick Ramadhan ‘Darasa’ yupo mbioni kurudi darasani baada ya kufanya muziki muda mrefu. Darasa katika pozi. Akifunguka hivi juzikati katika mahojiano na Kipindi cha Mtu Kati kinachorushwa na… ...

 

11 years ago

Habarileo

'Ukawa warudi bungeni'

MWENYEKITI wa Chama Cha Kijamii (CCK) na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Constantine Akitanda amesema juhudi zao walizoanzisha na chama cha NRA, zimelenga kuhakikisha kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanarejea bungeni.

 

11 years ago

Mwananchi

Wagosi wa Kaya warudi na Uamsho

>Mara ya mwisho kupanda jukwaani ilikuwa ni mwaka 2006 katika onyesho la kufunga mwaka lililofanyika katika ukumbi wa La Cassa Chika huko mkoani Tanga. Lilikuwa kundi la muziki lililojumuisha vijana wawili ambao walikuwa wakiongea kwa mara ya kwanza mambo muhimu yanayoihusu kwa karibu kabisa jamii ya Watanzania hasa waishio mkoa wa Tanga.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete- Ukawa wanapotosha, warudi

RAIS Jakaya Kikwete amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), warudi katika Bunge hilo, watumie mifumo maalumu waliyojiwekea na kanuni walizojitungia wenyewe, kutafuta maridhiano.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Viongozi wa mitaa kuingizwa darasani


NA MARIA AROPE, DODOMA
KUFUATIA viongozi wa ngazi ya chini kutopewa semina elekezi na miongozo kabla ya kuanza, kazi shirika lisilo la serikali mkoani Dodoma la NGONEDO linatarajia kutoa mafunzo kwa viongozi wa serikali za vijiji 1,580.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Mratibu wa shirika hilo, Edward Mbogo, alisema viongozi hao watatoka katika vijiji 42 ambapo wananchi 350,000 watanufaika.
Alisema awamu ya kwanza ya mradi huo itaanza kutekelezwa katika wilaya za Kongwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani