Wamasai Morogoro watembezewa kipigo.
Na Jackson Monela,
Morogoro.
Katika hali isiyo ya kawaida, wamasai wanaoishi na kufanya biashara katika manispaa ya Morogoro wamejikuta katika wakati mgumu mara baada ya kuvamiwa na kuanza kupigwa kutokana na kuuawa kwa mmoja wao katika mgogoro wa ardhi uliojitokeza kwenye bonde la Mgongolwa wilayani Mvomero mkoani humo.
Kupigwa kwa wamasai hao kumetekelezwa katika maeneo tofauti tofauti yakiwemo ya Nanenane, Msamvu Mtawala na mjini kati hali iliyowafanya wamasai hao kukimbilia vituo vya...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ARSENAL FC WATEMBEZEWA KIPIGO NA TOTTENHAM CHA BAO 2 - 1
11 years ago
Vijimambo21 Sep
Jeshi la polisi lawashushia kipigo wafuasi wa Chadema Morogoro.
askari polisi kuzingira barabara na maeneo kadhaa ya jiji hilo baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kuendelea na maandamano hayo licha ya kuzuiwa na polisi.
Hata hivyo, maandamano hayo yaliyopangwa kupinga kuendelea kwa Bunge Maalumu la Katiba, mjini Dodoma, hayakufanyika.
Chadema jana ilitangaza kufanyika kwa maandamano katika mikoa ya Arusha, Iringa na Morogoro ambapo Jumatatu yangefanyika mikoa ya Manyara, Kilimanjaro, Mbeya , Mwanza , Musoma na Tanga.
Baadhi ya...
10 years ago
Habarileo23 Jun
Wamasai waridhia kuacha ukeketaji
VIONGOZI wakuu wa jamii ya Kimasai wa Afrika Mashariki wameridhia kuachana na mila potofu zilizopitwa na wakati ikiwemo vitendo vya ukeketaji kwa wasichana wa jamii ya Kimasai ambavyo vimekuwa vikiwaathiri wasichana hao kwa kiasi kikubwa.
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
TZ yakana mpango wa kuwatimua wamasai
9 years ago
Habarileo06 Nov
Wamasai wamfurahia Rais mpya
WAZEE wa kimila wa jamii ya kifugaji ya kabila la Kimasai maarufu kwa jina la Laigwanani wa wilayani Longido mkoani Arusha, wamesema wanajisikia furaha kubwa kumwona Dk John Magufuli akiapishwa kuwa Rais wa Tanzania kwani wana imani matatizo ya wafugaji yatapatiwa ufumbuzi kwa kuwa rais ni mfugaji.
10 years ago
Dewji Blog09 Feb
Wamasai wataka uwekezaji kusitishwa Ngorongoro
Kiongozi wa mila tarafa ya Ngorongoro, Augustino Pakai Olonyokei akizungumza na Meneja uendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige aliyefika eneo hilo kwa ajili ya kuangalia miradi mbalimbali inayoendeshwa kusaidia jamii ya wafugaji wa kimasai hivi karibuni.
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro
KIONGOZI wa mila tarafa ya Ngorongoro Augustino Pakai Olonyokei ameitaka serikali kusimamisha uwekezaji katika Mamlaka ya Ngorongoro ili kupunguza shinikizo la raslimali katika eneo...
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Wamasai wageukia ususi kujikimu kimaisha
10 years ago
MichuziNYALANDU: HATUNA MPANGO WA KUWAONDOA WAMASAI LOLIONDO
Novemba mwaka huu, gazeti The Guardian la nchini Uingereza, liliandika habari kuwa serikali ina mpango wa kuwafukuza Wamasai wanaoishi eneo hilo.
Gazeti hilo lilidai kuwa, lengo ni kuwapatia eneo lenye kilometa za mraba 1,500, kampuni ya OBC ya Falme za Kiarabu.
Akizungumza na wananchi wa...
10 years ago
Habarileo21 Nov
Nyalandu: Taarifa za kufukuza Wamasai Loliondo ni uzushi
SERIKALI imesema haina mpango, haifikirii na wala haijaidhinisha kuwafukuza Wamasai zaidi ya 40,000 walioko katika eneo la Loliondo mkoani Arusha.