Wamiliki wa magari wailalamikia Strabag
WAMILIKI wa magari binafsi wanaotumia Barabara ya Morogoro, Dar es Salaam wameulalamikia uongozi wa Kampuni ya Strabag inayojenga barabara ya mradi wa mabasi yaendayo haraka kutokana na wafanyakazi wake kuwaomba...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--FzVPiMLy4Q/Xn7tFUokayI/AAAAAAALlWw/r_ofO5ObZ0AQjr1wBi7BxSJ30cTPtjuuwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200327_123516_2%25281%2529.jpg)
WAMILIKI WA MAGARI YA MASAFA MAREFU ARUSHA WAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA
Na Woinde Shizza,Arusha
CHAMA cha Wamiliki wa magari ya masafa marefu Mkoa wa Arusha ,TABOA,Hakiboa pamoja na wasafirishaji wenza wameiunga mkono serikali katika swala la kupiga vita ugonjwa wa Corona pamoja na kutoa elimu ya kuchukuwa taadhari kuhusu ugonjwa huo.
Ambapo wameamua kunua dawa ,mabomba ya kunyunyuzia dawa ,dawa za kunaiya mikono na ndoo 100 za kuwia mikono huku wakizindua rasmi mchakato wa upigaji dawa kwa vyombo vyote vya usafirishaji vilivyopo mkoani hapa.
Akizungumza wakati...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Wajasiriamali wailalamikia TBS
SHIRIKA la Viwango nchini (TBS) limetupiwa lawama na wajasiriamali wadogo wanaozalisha bidhaa zinazotengenezwa hapa nchini. Malalamiko hayo yalitolewa jijini Dar es Salaam na baadhi ya wajasiriamali walipozungumza na Tanzania Daima...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Majembe wailalamikia manispaa ya Songea
KAMPUNI ya Majembe Auction Mart imeilalamikia halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kwamba haijatoa elimu kwa wafanyabiashara juu ya ulipaji wa ushuru (Service Levy), kabla kampuni hiyo haijaanza kazi...
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Wakulima wailalamikia hifadhi ya Lwafi
BAADHI ya wakulima wa Kitongoji cha Chaulima Kijiji cha Mkole Kata ya Mtenga wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa wameulalamikia uongozi wa hifadhi ya pori la Lwafi na Msitu wa Mfili...
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusivya corona: Wafanyabiashara wa Tanzania wailalamikia Zambia
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fWyZFEZucHg/U-sxP-7Rg2I/AAAAAAAF_IE/dQULh-NCqKI/s72-c/unnamed%2B(93).jpg)
Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari
![](http://2.bp.blogspot.com/-fWyZFEZucHg/U-sxP-7Rg2I/AAAAAAAF_IE/dQULh-NCqKI/s1600/unnamed%2B(93).jpg)
10 years ago
StarTV28 May
Ujenzi Jijini Dar, baadhi wa Wabunge wailalamikia serikali.
Na Blaya Moses,
Dodoma.
Baadhi ya wabunge wameitaka serikali kuzingatia maagizo ambayo yamekuwa yakitolewa na wabunge hususani suala la kutoendeleza ujenzi wa majengo makubwa katika jiji la Dar Es Salaam ili kupunguza msongamano ambao umekuwa ukileta hasara ya zaidi ya shilingi bilioni nne.
Aidha wabunge hao wameigiza wizara ya fedha kumaliza madeni ya wakandarasi kutokana na madeni hayo kuwa sugu na kuanza kusababisha vifo miongoni mwa wakandarasi kutokana na msongo wa mawazo juu ya...
10 years ago
CloudsFM30 Oct
WANANCHI WAILALAMIKIA TANESCO KUKATA UMEME BILA TAARIFA
Tatizo la kukatika kwa umeme, imekuwa kero katika maeneo mbalimbali hapa nchini na lawama nyingi kutoka kwa wananchi zimekuwa zikielekezwa kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Maeneo mengi yamekumbwa na kero hiyo tangu wiki iliyopita mpaka jana huku wahusika wakishindwa kutoa taarifa ya nini kinachosababisha kero hiyo ya kukatika kwa umeme.
Hata hivyo Afisa habari wa TANESCO,Adrian Sevelin akizungumza na Clouds FM leo asubuhi alisema kuwa hali inatokana na matengenezo wanayofanya ikiwemo...
9 years ago
StarTV18 Nov
Wakazi Isunga Nzega wailalamikia Serikali Ubinafsishaji Mgodi Wa Kijiji
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Isunga wilayani Nzega mkoani Tabora wanaojihusisha na uchimbaji mdogo wa dhahabu wameilalamikia Serikali ya kijiji kwa kutaka kuubinafsisha mgodi huo kwa kampuni ya uwekezaji ya Duva bila kutoa taarifa rasmi kwa wananchi.
Hofu hiyo inakuja baada ya kuona kampuni ya Duva ikiingia mkataba na kijiji hicho wa kuchenjua mchanga wa dhahabu bila wananchi kupewa taarifa kama sheria za Serikali za mitaa zinavyoelekeza.
Shuguli kubwa za kiuchumi katika kijiji hicho ni...