Wamkataa Dk Makaidi mbele ya vigogo wa Ukawa
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alimwomba mwenyekiti mwenza wa umoja huo, Dk Emmanuel Makaidi kujitoa kugombea ubunge katika Jimbo la Masasi na kumwachia mgombea wa CUF, Ismail Makombe baada ya kukataliwa na wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Mbowe: Ukawa sasa ni mbele kwa mbele
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kamwe hautarudi nyuma katika makubaliano yaliyofikiwa juzi, likiwamo la kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi mbalimbali za uongozi.
9 years ago
TheCitizen16 Oct
Ukawa, and family plan Makaidi's funeral
The body of  chairman of opposition National League for Democracy, Dr Emmanuel Makaidi, was expected in Dar es Salaam from Masasi last night.
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Makaidi kuwania urais kupitia Ukawa
Wakati vyama vingine vinavyounda Ukawa, vikiendelea na mchakato wa kutafuta jina litakalopendekezwa kuchukua kiti cha urais, Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amesema, tayari chama chake kimeshapendekeza jina lake kuwa miongoni mwa vigogo watakaoshindanishwa kwenye kinyang’anyiro hicho.
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Ukawa mbele kwa mbele
Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi, yanaonyesha kuimarika kwa upinzani nchini baada ya kupata viti vingi vya uenyekiti wa mitaa na vijiji, pamoja na mamia ya wajumbe wa Serikali husika.
9 years ago
CHADEMA Blog9 years ago
Michuzi15 Oct
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UKAWA NA NLD. EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/P1iterCve3P81J3Zef--nJSyYac9aXLRICojNDu6Sier_pa79P9lYmwMszGqtXVhqzHNaNFP_wookvMc8GrDDaTtdaZ_G4JgDE4kQs2UzhITfNbCn1JsItJBCJjOOtvpBvSfAboQjW1-w5Jfkf0zsN4GRtQ6wVo=s0-d-e1-ft#http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2731006/highRes/1021109/-/maxw/600/-/i9vq6k/-/Makaidi.jpg)
WASIFU WA MAREHEMU KWA UFUPI:Dk Emmanuel Makaidi alikuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NLD na ni mhandisi aliyebobea. Alizaliwa Aprili 10, 1941 huko wilayani Masasi mkoani Mtwara. Baba yake mzazi alikuwa ni katekista wa Kanisa la Anglikana.
Alianza elimu katika Shule ya Msingi Namalenga wilayani Masasi kati ya mwaka 1948 – 1952, mwaka 1953 – 1954 alisoma katika Shule ya Kati (Middle school)...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-VoXGilwxsPk/U-sjQOkRyAI/AAAAAAAABeQ/vxKyEL86Ddc/s72-c/Unknown.jpeg)
Vigogo UKAWA sasa waweseka
Waibuka na masharti mapya kwa JK, SittaWadai waliowasaliti wamesukumwa na njaaHaki za wanaume zapigiwa upatu Katiba mpyaMjumbe aliyepigwa, apiga kura akiwa kitandani
NA WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA
BAADA ya Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na vikao vyake kwa utulivu, viongozi wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wameibuka na kutoa masharti mapya.
Masharti ya kundi hilo ambalo limesusia vikao vya bunge hilo kutokana na kujali maslahi yao binafsi ikiwemo ya kusaka madaraka, ni...
9 years ago
Mwananchi19 Sep
Ukawa wakunjana mbele ya mgombea mwenza
Wafuasi wa vyama vya Chadema na CUF wamekunjana mashati kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Ukawa uliofanyika Uwanja wa Barafu, Mburahati, Dar es Salaam.
9 years ago
Vijimambo‘Toroka Uje Ya Ukawa’ Kusomba Vigogo Hawa Wa CCM..? HII BALAA SASA
Taarifa tulizozipata zinaeleza kuwa Kambi ya Ukawa imepanga kuzindua rasmi kampeni yake walioyoipa jina la ‘Toroka Uje’, ikiwa na nia ya kuhamasisha watu wengi kukitoroka Chama Cha Mapinduzi na kumuunga mkono mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chanzo chetu, baadhi ya majina ya vigogo wa CCM wanaodhaniwa kuwa huenda wakajiunga na kambi ya upinzani kupitia kampeni hiyo ni pamoja na mwana siasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.Wengine wanaotajwa kuwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania