Wanachama wadanganyifu Teffa kukiona
Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (Taffa), kimetangaza kiama kwa wanachama wanaofanya udanganyifu wa kuwaibia wateja na Serikali kuwa mwisho wao umefika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Serikali kukabiliana na watumishi wadanganyifu
SERIKALI imesema haitasita kuwachukulia hatua watumishi wa halmashauri wanaofanya manunuzi kinyume cha bei zilizoko sokoni, hatua ambayo inachangia serikali kupata hasara. Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi,...
5 years ago
CCM BlogKILIMANJARO MARATHON YAWAONYA WADANGANYIFU
Waandaaji wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2020 wametoa onyo kalikwa washiriki wanaopanga kutumia njia za udanganyifu kushiriki mbio hizo kwa lengo la kujipatia medali na zawadi nyingine.
Taarifa...
9 years ago
BBCSwahili22 Dec
IAAF ilipanga njama kuficha wanariadha wadanganyifu
10 years ago
VijimamboWanachama wa Vikoba Wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Kongamano la Wanachama wa Vikoba Arusha.
9 years ago
Habarileo22 Dec
Wanaozidisha uzito kukiona
WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inakusudia kuongeza adhabu ya tozo kwa magari yanayokamatwa yamezidisha mizigo na kusababisha barabara kuharibika. Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Edwin Ngonyani alisema hayo juzi wakati wa ziara yake kukagua miradi ya miundombinu ya barabara ya Magole –Turiani, wilayani Mvomero yenye urefu wa kilometa 48.6 pamoja na ujenzi wa mizani inayotembea katika barabara kuu eneo la Mikese , wilaya ya Morogoro.
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
JK: Atakayechezea Muungano kukiona
RAIS Jakaya Kikwete ameonya kuwa mtu atakayechezea Muungano atakiona cha mtema kuni. Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana wakati akilihutubia taifa kwenye hafla ya kuwapongeza vijana wa Umoja wa Chama...
9 years ago
Habarileo08 Oct
Wanaomchafua Zitto kukiona
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeliomba Jeshi la Polisi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kufuatilia na kumchukulia hatua mtu aliyesambaza ujumbe katika mitandao ya kijamii, kuuchafua uislamu na kiongozi mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Wezi wa maji kukiona
SERIKALI imeimarisha mapambano dhidi ya watu wanaotumia maji bila kufuata taratibu na sheria na kusababisha upungufu kwa watumiaji wengine na hasara kubwa ya mapato. Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Wizara...
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Wajumbe waongo kukiona