Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Atakayechezea Muungano kukiona

RAIS Jakaya Kikwete ameonya kuwa mtu atakayechezea Muungano atakiona cha mtema kuni. Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana wakati akilihutubia taifa kwenye hafla ya kuwapongeza vijana wa Umoja wa Chama...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano

Leo nijikite katika kuongeza uelewa juu ya tofauti iliyopo kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Nchi yetu inatokana na muungano wa zilizokuwa nchi mbili huru kwa maana ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo ziliwezesha kuundwa kwa nchi mpya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe waongo kukiona

>Rasimu ya Kanuni za Uendeshaji wa Bunge la Katiba, zinawabana wajumbe wa bunge hilo na sasa atakayebainika kusema uongo anaweza kupewa adhabu ya kutokuhudhuria vikao visivyozidi vitatu.

 

10 years ago

Habarileo

Wachonganishi Loliondo kukiona

Lazaro Nyalandu.SERIKALI imesema haitasita kuwafukuza wawekezaji, taasisi au mashirika yasiyo ya kiserikali, yanayofanya uchonganishi katika maeneo ya hifadhi na uwindaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wezi wa maji kukiona

SERIKALI imeimarisha mapambano dhidi ya watu wanaotumia maji bila kufuata taratibu na sheria na kusababisha upungufu kwa watumiaji wengine na hasara kubwa ya mapato. Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Wizara...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaowadhalilisha Watoto kukiona UK

Vyombo vya Usalama nchini Uingereza vinawasaka kwa udi na uvumba Watu wanaowadhalilisha kingono Watoto

 

9 years ago

Habarileo

Wanaomchafua Zitto kukiona

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeliomba Jeshi la Polisi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kufuatilia na kumchukulia hatua mtu aliyesambaza ujumbe katika mitandao ya kijamii, kuuchafua uislamu na kiongozi mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto.

 

9 years ago

Habarileo

Wanaozidisha uzito kukiona

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inakusudia kuongeza adhabu ya tozo kwa magari yanayokamatwa yamezidisha mizigo na kusababisha barabara kuharibika. Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Edwin Ngonyani alisema hayo juzi wakati wa ziara yake kukagua miradi ya miundombinu ya barabara ya Magole –Turiani, wilayani Mvomero yenye urefu wa kilometa 48.6 pamoja na ujenzi wa mizani inayotembea katika barabara kuu eneo la Mikese , wilaya ya Morogoro.

 

10 years ago

Habarileo

Wanaotorosha tumbaku kukiona

SERIKALI mkoani Tabora imesema itahakikisha inawadhibiti wakulima wanaotorosha tumbaku na kusababisha vyama vya ushirika vya msingi kuingia kwenye madeni makubwa ambayo hadi sasa yanawasumbua kuyalipa.

 

11 years ago

Habarileo

Majangili Ruaha kukiona

TEMBO wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha watafungwa kifaa maalumu cha kufuatilia mwenendo wao, hizo zikiwa ni harakati za ziada za serikali na wadau wake, kunusuru wanyama hao dhidi ya majangili wanaosaka meno yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani