Wanafunzi 365 na walimu wanane wachangia choo kimoja chenye matundu manane
Baadhi ya wazazi wa shule ya msingi Kilimani waliohudhuria kwenye mkutano wa wazazi wa shule hiyo uliofanyika kwenye viwanja vilivyotengwa kwa ajili ya mikutano shuleni hapo.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na. Jumbe Ismailly, Mkalama
WANAFUNZI 365 pamoja na walimu wanane wa shule ya msingi Kilimani, kata ya Ibaga, tarafa ya Kirumi, wilayani Mkalama wanachangia matundu manane ya choo yaliyopo kati ya matundu 17 yanayohitajika katika shule hiyo.
Hayo yalibainishwa na mwalimu mkuu wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi01 Sep
MO DEWJI FOUNDATION YAKABIDHI MATUNDU NANE YA CHOO BORA KWENYE SHULE YA MSINGI KIBAONI
![DSC01579](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/DSC01579.jpg)
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kibaoni mjini Singida, Sundi Samike, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi choo bora chenye matundu nane chenye thamani ya zaidi ya shilingi 16 milioni zilizotolewa na MO Dewji Foundation (shilingi 14 milioni) na Doris Mollel Foundation shilingi 2.3 milioni).
![DSC01583](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/DSC01583.jpg)
9 years ago
Dewji Blog01 Sep
Mo Dewji Foundation yakabidhi matundu nane ya Choo bora kwenye shule ya Msingi Kibaoni Singida
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kibaoni mjini Singida, Sundi Samike, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi choo bora chenye matundu nane chenye thamani ya zaidi ya shilingi 16 milioni zilizotolewa na MO Dewji Foundation (shilingi 14 milioni) na Doris Mollel Foundation shilingi 2.3 milioni).
Mwakilishi wa Mo Dewji Foundation mkoani Singida, Duda Mughenyi, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi choo bora chenye matundu nane shule ya msingi Kibaoni mjini Singida, chenye thamani ya zaidi ya...
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
Wanafunzi 706 watumia matundu ya vyoo 976
Wanafunzi wa shule ya msingi Munguli wakiimba nyimbo za kumkaribisha Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM) – TAMISEMI (Elimu), Mhe. Kassim Majaliwa (MB) mara tu baada ya kufika kwenye viwanja vya shule hiyo.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM) – TAMISEMI (Elimu), Mhe. Kassim Majaliwa (MB) (aliyesimama) akisisitiza jambo kwa wazazi wa wanafunzi wa shule ya msingi Munguli kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule hiyo.
Baadhi ya wanawake wa...
9 years ago
MichuziWANAFUNZI WA ST. JOSEPH WACHANGIA CHUPA 125 ZA DAMU MUHIMBILI
9 years ago
StarTV15 Nov
Wanafunzi Shule ya Msingi Raranya Rorya wasitishiwa masomo kwa ukosefu wa choo.
Wanafunzi zaidi ya mia tano wa shule ya msingi Raranya wilayani Rorya mkoani Mara wamelazimika kusimama masomo kwa zaidi ya miezi mitano kutokana na shule hiyo kufungwa kwa kutokuwa na choo.
Uongozi wa shule umetoa maelezo hayo kwa mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Airo kufanya ziara ya kushutukiza na kukuta shule hiyo haina wanafunzi zaidi ya wa darasa la nne wanaoendelea na masomo.
Akiongea na star tv katika shule ya msingi Raranya ,mwl Magdalena John amekiri kufungwa kwa shule hiyo, huku...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Wanafunzi Manyara wawashukia walimu
WAKATI wadau wa elimu wakitupia lawama kwa wanafunzi na wazazi, wanafunzi mkoani Manyara wamewalaumu walimu wao kwa kutokuwa na mahusiano mazuri wawapo shuleni. Wakizungumza kwenye mkutano wa maadhimisho ya Juma...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-p_VsGvbsMq0/VD6BAzqc1CI/AAAAAAAAEDM/mVa2Zxe3sT4/s72-c/maige%2Bezekielwaziri.jpg)
WALIMU NA WANAFUNZI WAJISAIDIA VICHAKANI .
![](http://2.bp.blogspot.com/-p_VsGvbsMq0/VD6BAzqc1CI/AAAAAAAAEDM/mVa2Zxe3sT4/s640/maige%2Bezekielwaziri.jpg)
Na Mohab Matukio SHULE ya msingi Izuga Kata ya ( Isaka Jana) katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga haina vyoo vya walimu na wanafunzi hali ambayo walimu pamoja na wanafunzi inasababisha kujisaidia vichakani kwazamu.
Hayo yalibainika katika risala iliyosomwa na afisa mtendaji wa Kijiji hicho Reuben Macheyeki mbele ya mbunge wa jimbo la Msalala Ezekiel Maige ilisema kwamba shule hiyo tangu ijengwe mwaka 2009 haijawahi kuwa na...
11 years ago
Habarileo07 Jan
Wanafunzi wenye virusi walalamikia walimu
BAADHI ya wanafunzi wa shule za msingi mkoani Pwani wenye virusi vya Ukimwi, wamesema baadhi ya walimu huwataka kimapenzi licha ya kuwaeleza ukweli juu ya hali zao kiafya.
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Wanafunzi Geita walalamikia kutumikishwa na walimu