Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI 84 WA UDOM WATIWA MBARONI KWA KUHAMASISHA MAANDAMANO MJINI DODOMA

Baadhi ya Wanafunzi 84 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa kwenye gari ya polisi baada ya kutiwa mbaroni kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni hapo na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo mjini Dodoma leo.Baadhi ya Wanafunzi 84 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni hapo na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini

 Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Dodoma SACP David Misime---Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini  tarehe 14.01.2015 majira ya 05:30 (kumi na moja alfajiri).        Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime  ameeleza kuwa chanzo cha wananfunzi hao wa...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI 84 WA PROGRAMU MAALUMU YA DIPLOMA YA UALIMU UDOM MBARONI KWA TUHUMA ZA KUHAMASIHA MAANDAMANO MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini leo tarehe 14.01.2015 majira ya 05:30hrs.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – (SACP) ameeleza kuwa chanzo cha wananfunzi hao wa programu maalum ya...

 

11 years ago

Mwananchi

MALALAMIKO: Polisi wazima maandamano ya wanafunzi Udom

>Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, lililazimika kupiga kambi kwa muda wa saa sita kwenye Jengo la Ofisi ya Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ili kulinda usalama baada ya tetesi za kuwapo maandamano ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom)kwenye ofisi hizo.

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi 84 UDOM mbaroni

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWANAFUNZI 84 wa Chuo Kikuu UDOM wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani chuoni hapo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili watiwa mbaroni kwa ‘unga’

Kikosi cha Polisi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia), kimewakamata mkazi wa Ilala na raia wa Nigeria, kwa tuhuma za kukutwa na begi lenye kilo 4.8 za dawa zinazodhaniwa kuwa ni za kulevya.

 

9 years ago

Habarileo

Wahojiwa kwa kuhamasisha maandamano batili

JESHI la Polisi mkoani Rukwa limewashikilia kwa mahojiano Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani humo, Zeno Nkoswe, viongozi wengine wawili wa chama hicho, pamoja na wanachama watano kwa kuhamasisha maandamano yaliyokatazwa.

 

10 years ago

Habarileo

Watano watiwa mbaroni kwa upigaji ramli

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Zuberi MwombejiWATU watano wa kijiji cha Mheza kilichopo Kata ya Mhinduro wilayani Mkinga wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa wakipiga ramli za uchonganishi zilizolenga kufichua wachawi.

 

9 years ago

Habarileo

166 watiwa mbaroni kwa kutumia ovyo mitandao

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu zaidi ya 166, ambao wanatuhumiwa kutumia mitandao ya kijamii kutangaza matokeo yasiyo rasmi. Kamishna wa Polisi wa kanda hiyo, Suleiman Kova alisema jana kuwa watu hao walikamatwa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

100 watiwa mbaroni kwa kuchoma ofisi ya Serikali

Kundi la wananchi leo lilivamia ofisi ya Serikali ya kata ya Njoro,Manispaa ya Moshi, na kuichoma moto wakipinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea udiwani wa Chadema, Jomba Koyi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani