Wanafunzi wa kike watakiwa kujitambua
WANAFUNZI wa kike nchini wametakiwa kujitambua pindi wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao shuleni kwa ajili ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili katika kufikia malengo ya kielimu. Kauli hiyo ilitolewa juzi na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI TAULO ZA KIKE 'PEDI' ZA MIL 7.8 KWA WANAFUNZI WA KIKE DARASA LA SABA 2020 Inbox x
Na Kadama Malunde - Malunde 1 bogMbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) amekabidhi Taulo laini za kike ‘Pedi’ zinazofuliwa zenye thamani ya shilingi milioni 7.7 zilizotokana na mchango wake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-b423c46A3nM/XmykwgXkINI/AAAAAAALjMs/cBDG6vPRgsQJc9WId8WW267cn3DuS1O3ACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-13%2Bat%2B8.08.12%2BPM.jpeg)
MNEC MWAKITINYA, TAASISI YA JASIRI ASILI WAWAPA ELIMU YA KUJITAMBUA WANAFUNZI SEKONDARI YA IHUMWA
Charles James, Michuzi TVWANAFUNZI nchini wametakiwa kuepuka vishawishi vya kimahusiano na vyenye kuwapeleka kwenye utumiaji wa dawa za kulevya ili kuweza kutimiza ndoto zao.
Kauli hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), MNEC Mussa Mwakitinya wakati akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ihumwa jijini Dodoma leo.
Mwakitinya ambaye ameambatana na Taasisi ya...
10 years ago
Habarileo11 Sep
Wanafunzi wa kike wanusurika kufa kwa moto
ZAIDI ya wanafunzi 96 wa kike wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari African Muslim iliyopo mjini Moshi, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wakilala, kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana mjini hapa.
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Moto wateketeza bweni la wanafunzi wa kike Dar
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GHEGMS9EGSU/XlpmkccUn1I/AAAAAAALgGo/MzzbTavmGHEIMmh7F0Hko0zov9NmsgAUgCLcBGAsYHQ/s72-c/7fba1969-bbb4-4dcc-b6e4-1e0fb2432dcd.jpg)
WANAFUNZI WA KIKE MSIJIRAHISISHE TUPUNGUZE UKATILI- DC KASESERA
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela amewataka wanafunzi wa kike kutojirahisisha mpaka kupelekea kufanyiwa vitendo vya ukatili dhidi yao.
Ameyasema hayo leo mkoani Iringa wakati akiupokea Msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili wa kijinsia mkoani hapo.
Ameongeza kuwa vitendo vya kikatili vimekuwa vikiongezeka siku hadi siku hasa katika familia na vimekuwa vikifumbiwa macho na kumalizana kimya kimya.
"Msijirahisishe watoto wangu mnatupa tabu sana maana...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-i2_GbI-tUvw/XnC6-Xw_MlI/AAAAAAALkF0/XtLQ7bzFIqMDTTKhPPsE_sBU5pVQgycUACLcBGAsYHQ/s72-c/kairuki.png)
Waziri Kairuki Agawa Taulo za Kike kwa Wanafunzi Same
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji ,Angellah Kairuki amegawa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Makanye iliyoko wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro lengo ikiwa ni kuwasaidia watoto wa kike wanaotoka kwenye kaya zenye uhitaji waweze kupata msaada huo.
Akikabidhi taulo hizo ,Kairuki amepongeza juhudi za serikali za kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote bila kubagua jambo ambalo litawawezesha watoto wa...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Wanafunzi wa kike wanavyoangukia kwenye mikono ya wanaume wakware
10 years ago
Dewji Blog11 Jun
Mh. Majaliwa amwagiza mkurugenzi kuwajengea vyoo wanafunzi wa kike wa Kihadzabe
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM) – TAMISEMI (Elimu), Mhe. Kassim Majaliwa (MB) (aliyevaa miwani) akisalimiana na viongozi pamoja na wazazi wa wanafunzi wa shule ya msingi Munguli, kata ya Mwangeza,tarafa ya Kiru mi, wilayani Mkalama wakati wa ziara ya siku moja wilayani humo kutembelea maeneo ya wanayoishi wanafunzi wa jaamii ya kabila la Wahaadzabe.
Wanafunzi wa shule ya msingi Munguli wakiimba wimbo wa shule yao wakati wakimpokea Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu...