Wanafunzi wafa wakikimbia mchakamchaka
WANAFUNZI watano wa Sekondari ya Mustapha Sabodo wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Mercedes Benz lenye namba za usajili T 174 AED lililokuwa likiendeshwa na Baraka Mgwegwe...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Wanafunzi wawili wafa wakiogelea
WANAFUNZI wawili wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Goba, Dar es Salaam, wamefariki dunia juzi wakati wakiogelea. Wanafunzi hao wametajwa kuwa ni Frank Charles (11) na Videson Peter...
11 years ago
Habarileo21 Apr
Wanafunzi wa Goba wafa wakiogelea
WANAFUNZI wawili wa Shule ya Msingi Goba, wamekufa baada ya kuzama wakati wakiogelea katika dimbwi la maji ya mvua. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema wanafunzi hao ni Frank Charles (11) na Videson Peter (11).
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Wanafunzi wawili CBE wafa ajalini
WANAFUNZI wawili wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika ajali ya gari iliyotokea katika viwanja vya Shabaha. Akizungumzia ajali hiyo, Kamanda wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-OlGFONkFiu8/VEdMipw5qcI/AAAAAAAGsj4/qUXxajXO_nM/s72-c/PIX%2B1.jpg)
CHADEMA NACHINGWEA WAKIKIMBIA CHAMA CHAO NA KUJIUNGA NA CCM, WAZIRI CHIKAWE APOKEA KADI ZAO NA KUWAKARIBISHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-OlGFONkFiu8/VEdMipw5qcI/AAAAAAAGsj4/qUXxajXO_nM/s1600/PIX%2B1.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 May
Bunge la Bajeti mchakamchaka
9 years ago
Mwananchi25 Nov
Siku 21 za mchakamchaka wa Magufuli
10 years ago
VijimamboMCHAKAMCHAKA WA KINANA WATUA WILAYANI NGARA
10 years ago
GPLMCHAKAMCHAKA WA KINANA WATUA WILAYANI NGARA
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Mchakamchaka umeanza Arusha, wagombea Ubunge CCM wamwaga sera
Kada maarufu wa chama cha mapinduzi ambaye pia ni mfanyabiashara wa madini jijini Arusha, Justine Nyari, akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kujinadi nafasi ya Ubunge kupitia chama cha mapinduzi katika kata mpya ya Sinoni jijini Arusha(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha, Mustafa Panju akizungumza na wananchi wa kata mpya ya Sinoni kuhusu nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi...