Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI WALIOWAHI KUSOMA ENABOISHU KUKUTANA KUPANGA MIKAKATI YA KUSAIDIA SHULE YAO

Na Zawadi Msalla-MAELEZOWANAFUNZI waliowahi kusoma katika shule ya Sekondari Enaboishu ya jijini Arusha wanatarajia kukutana tarehe 5 Desemba 2015 ili kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kuisaidia shule hiyo katika kuboresha maendeleo ya taaluma.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mwenyekiti wa Muda  wa Jumuiya hiyo ya Enaboishu Renalda Shirima alisema mkutano huo wa kwanza utafanyika katika matawi mawili ya mkoa wa Arusha na Dar es salaam. 
Ambapo katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wanaenaboishu kukutana kupanga mikakati ya kusaidia shule yao

1A

Mwenyekiti wa Muda  wa Jumuiya ya Wanafunzi waliowahi kusoma katika shule ya Sekondari Enaboishu Renalda Shirima akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu mkutano wao wa  kwanza utafanyika katika matawi mawili ya mkoa wa Arusha na Dar es salaam kwa ajili ya kuangalia fursa mbalimbali ambazo wanaweza kushirikiana katika kuleta maendeleo ya taaluma katika shule yao ya zamani kwa kuboresha mazingira ya wanafunzi na walimu ya kujifunzia na kufundishia. Kushoto ni Afisa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kusoma, kuhesabu kunavyowasumbua wanafunzi shule za msingi

Tangu mwaka 2010, taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Twaweza kupitia mradi wake wa Uwezo, imekuwa ikifanya tafiti katika nchi za Afrika Mashariki zinazolenga kubaini uwezo wa watoto wa shule za msingi katika stadi za kusoma na kuhesabu.

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.

Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, akikata utepe ili kufungua Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Muhimbili, iliyokarabatiwa na kuweka viti 29 na meza 8 na wanafuzi waliohitimu darasa la saba katika shule hiyo Mwaka 1988, pamoja na kiti na meza ya kisasa katika ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo katika hafra fupi iliyoandaliwa na wanafunzi hao ikiwa imehudhuliwa na walimu wa shule hiyo wa tangu mwaka 1978. Walimu wa Shule ya Msingi Muhimbili wakifurahia kupewa viti vipya pamoja na meza na...

 

5 years ago

Michuzi

POLISI NA WAHUDUMU WA BAR WAKUTANA KUPANGA MIKAKATI YA KIUSALAMA

JESHI la polisi wilayani Tunduru limekutana na wahudumu,wamiliki wa Bara pamoja na wamiliki wa nyumba za kulala wageni ili kwa pamoja kupanga mkakati wa kudhibiti vitendo vya uharifu na waharifu sehemu zao za kazi. 
Akizungumza na wahudumu hao jana, Mkuu wa Jeshi la Polisi wilayani humo Nico Livingstone alisema, suala la ulinzi la mwananchi na mali ni la kila mmoja na sio taasisi moja. Amewataka wahudumu na wamiliki wa bara na nyumba za kulala wageni kutoa taarifa kwa polisi pale...

 

9 years ago

Dewji Blog

WANAFUNZI WENYE ALBINISM: Wakatisha masomo baada ya shule yao kukosa chakula Mkoani Singida!

ZIADAKatibu Mkuu wa chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada Nsembo akizungumza kwenye semina ya uhabarisho juu ya majukumu ya waandishi wa habari kuibua na kuandika habari zinazohusu watu wenya ulemavu wa aina mbalimbali.

Na Nathaniel Limu

[SINGIDA] Jumla ya wanafunzi 37 wenye ulemavu wa ngozi (Albino) wa shule ya msingi mchanganyiko Izenga wilaya ya Iramba mkoani Singida,wamelazimika kukatisha masomo yao kwa muda usiojulikana kutokana na shule hiyo kukosa chakula.   Imedaiwa wanafunzi hao wa...

 

11 years ago

GPL

WASANII WAKUTANA VIWANJA VYA LEADERS KUPANGA MIKAKATI YA MSIBA WA RECHO

Wasanii wa Bongo Movies Unity wakiwa katika Viwanja vya Leaders kupanga mikakati ya msiba wa mwenzao, Rachel Haule 'Recho' aliyeaga dunia jana usiku. Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere akiongoza kikao cha wasanii kwenye Viwanja vya Leaders, Dar.…

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KAWAMBWA AWA "LAIGWANANI" ACHANGISHA MILIONI 35 UKARABATI WA SHULE YA ENABOISHU MKOANI ARUSHA

 .Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dk. Shukuru Kawambwa(kulia)akikabidhiwa Usinga unaomtambulisha kama mzee wa jamii ya Kimaasai(Laigwanani) na Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi  ya Kaskazini Kati mkoani Arusha,Solomon Masangwa wakati wa harambee ya kuchangia  ukarabati wa Miundombinu iliyochakaa ya Shule ya Sekondari ya Enaboishu,Shule hiyo imeanzishwa miaka  48 iliyopita na KKKT.  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dk. Shukuru Kawambwa akitoa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Shukuru Kawambwa kuwa mgeni rasmi kwenye Harambee ya shule ya Sekondari ya Enaboishu mkoani Arusha

Waziri-wa-Elimu-na-Mafunzo-ya-Ufundi-Dkt.-Shukuru-Kawambwa.

Na Beatrice Lyimo, Maelezo-DSM.

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia kuchangia ujenzi wa nyumba za walimu vyumba vya madarasa na ununuzi wa samani katika shule ya Sekondari ya Enaboishu iliyopo mkoani Arusha.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi wa shule hiyo, Bw. Emmanuel Munga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi jijini Dar Es Salaam.

Munga amesema kuwa Harambee hiyo inatarajiwa kufanyika...

 

11 years ago

Michuzi

Wataalamu wa kilimo wilayani Handeni kukutana kuweka mikakati ya mazao mapya yatakayofaa kwa biashara

Na Mohammed Mhina, HandeniWataalamu wa kilimo wilayani Handeni katika mkoa wa Tanga, kesho watakutana kuweka mezani mapendekezo ya mazao mapya yatakayofaa kwa biashara kwa lengo la kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja wilayani humo.  Mkuu wa wilaya hiyo Bw. Muhingo Rweyemamu, amesema leo kuwa katika mkutano huo, wataalamu hao watapitia itifaki mbalimbali zilizofikiwa na kuanisha zao mbadala kwa biashara kati ya korosho na ufututa ama yote mawili badala ya kutegemea mahindi pekee kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani