POLISI NA WAHUDUMU WA BAR WAKUTANA KUPANGA MIKAKATI YA KIUSALAMA
JESHI la polisi wilayani Tunduru limekutana na wahudumu,wamiliki wa Bara pamoja na wamiliki wa nyumba za kulala wageni ili kwa pamoja kupanga mkakati wa kudhibiti vitendo vya uharifu na waharifu sehemu zao za kazi.
Akizungumza na wahudumu hao jana, Mkuu wa Jeshi la Polisi wilayani humo Nico Livingstone alisema, suala la ulinzi la mwananchi na mali ni la kila mmoja na sio taasisi moja. Amewataka wahudumu na wamiliki wa bara na nyumba za kulala wageni kutoa taarifa kwa polisi pale...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWASANII WAKUTANA VIWANJA VYA LEADERS KUPANGA MIKAKATI YA MSIBA WA RECHO
10 years ago
MichuziWabunge Duniani wakutana kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya kiusalama yanayoikabili Dunia
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Wanaenaboishu kukutana kupanga mikakati ya kusaidia shule yao
Mwenyekiti wa Muda wa Jumuiya ya Wanafunzi waliowahi kusoma katika shule ya Sekondari Enaboishu Renalda Shirima akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu mkutano wao wa kwanza utafanyika katika matawi mawili ya mkoa wa Arusha na Dar es salaam kwa ajili ya kuangalia fursa mbalimbali ambazo wanaweza kushirikiana katika kuleta maendeleo ya taaluma katika shule yao ya zamani kwa kuboresha mazingira ya wanafunzi na walimu ya kujifunzia na kufundishia. Kushoto ni Afisa...
9 years ago
Michuzi03 Dec
WANAFUNZI WALIOWAHI KUSOMA ENABOISHU KUKUTANA KUPANGA MIKAKATI YA KUSAIDIA SHULE YAO
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mwenyekiti wa Muda wa Jumuiya hiyo ya Enaboishu Renalda Shirima alisema mkutano huo wa kwanza utafanyika katika matawi mawili ya mkoa wa Arusha na Dar es salaam.
Ambapo katika...
9 years ago
StarTV21 Oct
Jeshi la polisi lapokea vifaa vya kiusalama
Jeshi la Polisi Nchini limetakiwa kulinda na kuhakikisha amani inakuwepo katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameyasema hayo, wakati akikabidhi magari mia tatu kwa Polisi nchini.
Katika Makabidhiano hayo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, ERNEST MANGU, Rais Kikwete amekabidhi magari mia tatu kati ya mia saba sabini na saba yanayotarajiwa kuimarisha ulinzi na shughuli mbalimbali za Polisi nchini.
10 years ago
MichuziWADAU WAKUTANA KUJADILI MIKAKATI YA OFISI YA CAG
Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ,Jasper Mero akizungumza katika mkutano wa Wadau wa Kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa ofisi ya CAG uliofanyika leo jijini Dar es Salaam Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ,Jasper Mero (mwenye tai katikat)akiwa katika picha ya pamoja na wadau kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa ofisi ya CAG uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Na Chalila Kibuda,Globu ya Jami. Imeelezwa kuwa kufikia mlaengo...
11 years ago
MichuziUN-ICTR Yatoa Msaada wa Magari ya Kiusalama kwa Polisi Arusha
Magari hayo ni baadhi ya yale yaliyokuwa yakitumika kwa shughuli za usalama kubebea watuhumiwa au watu nyeti,na mahakama hiyo inatarajiwa kumaliza shughuli zake mwakani.
Magari hayo ni yale yaliyoimarishwa kiusalama...
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Kampuni ya Serengeti yatoa mafunzo kwa wahudumu wa Bar kwa mikoa ya Tanzania Bara
Meneja wa chapa wa vinywaji vikali wa Serengeti Breweries Limited, Shomari Shija (wa nne kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
..Diaegeo Master Bar Academy (MBA) kwa udhamini wa Smirnoff
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Kampuni ya Bia ya Serengeti (Serengeti Breweries Limited) kupitia kampuni mama ya Diaegeo imeweza kufanya mafunzo ya namna ya kutoa huduma bora ya kuhudumia wateja kupitia vinywaji mbalimbali ikiwemo vinywaji vikali (Spirit) kwa Wahudumu wa Bar ...
9 years ago
Dewji Blog03 Sep
Viongozi wa Dini kutoka nchi 17 wakutana jijini Dar kujadili mikakati ya kumaliza mambukizi mapya ya VVU/UKIMWI
Mshereheshaji wa mkutano huo Prof. Venant Nantulya akiwa katika hatua ya uendeshaji wa mkutano wa Viongozi wa ngazi ya juu wa dini katika kupambana na kuweka mikakati ya kuharakisha kumaliza maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI.(Picha na Geofrey Adroph).
Mufti mkuu wa Zambia, Sheikh Assadullah Mwale akifungua kwa dua katika mkutano wa viongozi wa dini wa nchi za mashariki na kusini mwa Afrika uliofanyika jana jijini Dar.
Bi. Vanessa Anyoti kutoka YWCA Tanzania (kushoto) akizungumza kuhusiana...