Wanaharakati waelezea kukerwa Ethiopia
Tume ya kuwalinda waandishi wa habari CPJ, imekosoa Ethiopia kwa kutumia sheria ya ugaidi, kuzima harakati zozote za upinzani nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Jan
Amuua mdai wake kwa kukerwa kudaiwa Sh 80,000
MWANAMKE Caseline Mzee (75) mkazi wa kijiji cha Guta wilayani Bunda, mkoani Mara, ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kunyongwa na kisha mwili wake kutupwa ndani ya mto, ukiwa umefungiwa mawe mazito ili usielee.
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Sam Munyavi: Afariki Uingereza baada ya kukerwa na uandishi Zimbabwe
MWEZI uliopita wa Juni nilisikia habari kwamba mwandishi wa siku nyingi, Sam Munyavi alikuwa amepatwa na kiharusi na hali yake ni mbaya sana.
Kilikuwa ni kiharusi kibaya alichokuwa amekipata kiasi kwamba alikuwa ameachwa katika hali kudhoofika sana kimwili.
Alikuwa hawezi kufanya chochote peke yake na kuzungumza ndiyo ilikuwa shida kabisa kwake. Kwa kweli watu waliomtembelea walikuwa wakijionea kwamba ulikuwa umebaki muda tu, mpendwa huyo aage dunia.
Alikuwa katika hali hiyo ya...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UgLUjuQwZfM/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Utafiti waelezea sababu za saratani
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
#Shinyanga:Wenyeji waelezea tatizo la maji
11 years ago
BBCSwahili16 Apr
Meli ya Korea Kusini: Abiria waelezea
10 years ago
MichuziWAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWA TBL
Baadhi ya Wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha Shayiri wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha anayesimamia wakulima katika eneo hilo la Monduli Juu, wilayani Monduli mkoani Arusha.
![](http://4.bp.blogspot.com/-dJWPKBBy1Ew/VGzyPQiv4KI/AAAAAAAAwbY/Lg-HoyLxM74/s1600/MEPOROO%2BTREKTA%2BMAFANIKIO.jpg)
10 years ago
Michuzi20 Dec
WAIMBAJI WA TAMASHA LA KRISMAS MKOANI MBEYA WAELEZEA MAANDALIZI YAO
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/118.jpg)
10 years ago
MichuziWAJASIRIAMALI WAELEZEA WALIVYOWEZESHWA NA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA YA TBL