Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sam Munyavi: Afariki Uingereza baada ya kukerwa na uandishi Zimbabwe

MWEZI uliopita wa Juni nilisikia habari kwamba mwandishi wa siku nyingi, Sam Munyavi  alikuwa amepatwa na kiharusi na hali yake ni mbaya sana.

Kilikuwa ni kiharusi kibaya alichokuwa amekipata kiasi kwamba alikuwa ameachwa katika hali kudhoofika sana kimwili.

Alikuwa hawezi kufanya chochote peke yake na kuzungumza ndiyo ilikuwa shida kabisa kwake. Kwa kweli watu waliomtembelea walikuwa wakijionea kwamba ulikuwa umebaki muda tu, mpendwa huyo aage dunia.

Alikuwa katika hali hiyo ya...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mwasiti amkana Misago, ni baada ya Diamond kumuita ‘muke halali ya Sam’

Mwasiti Almas amezungumzia salamu ya pongezi aliyopewa na Diamond Platnumz jana kwenye siku yake ya kuzaliwa iliyovumbua uhusiano usiojulikana kati yake na mtangazaji wa Power Jams ya EA Radio, Sam Misago. Katika salamu hizo, Diamond aliandika: Happy Birthday Chitty… muke halali ya @Sammisago.” Hata hivyo Mwasiti amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Misago. “Diamond […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Baltacha: Mchezaji wa Uingereza afariki

Mchezaji wa zamani wa tennis nambari moja wa Uingereza Elena Baltacha amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani ya ini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Lynda Bellingham afariki dunia Uingereza

Mwigizaji maarufu nchini Uingereza Lynda Bellingham afariki dunia

 

10 years ago

Mwananchi

Dk William Shija afariki dunia Uingereza

Katibu Mkuu wa Umoja wa Wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Shija, ambaye pia aliwahi kushika nyadhifa za uwaziri na ubunge nchini kwa nyakati tofauti, amefariki dunia jijini London jana.

 

5 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA 13 AFARIKI KWA CORONA UINGEREZA

 Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MTOTO wa miaka 13 amefariki dunia nchini Uingereza mara baada ya kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona (Covid-19) hospitali King's College ya Mjini London na ndugu wa mtoto huyo wamevieleza vyombo vya habari.
Mtoto huyo raia wa Uingereza alifariki dunia siku ya Jumatatu ameelezwa kuwa ni muingereza mdogo zaidi kufariki kwa virusi hivyo.
Familia ya mtoto huyo imevieleza vyombo vya habari kuwa mtoto huyo (Ismail Mohamed Abdulwahab) alianza kuonesha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Je, Zimbabwe inaporomoka kwa mara nyengine baada ya mapinduzi?

Siku ya Jumanne, wakati wa maombi ya kitaifa rais Mnangagwa aliwataka Wazimbabwe kutubu ili kukabiliana na mlipuko huu wa corona,kupambana rushwa na watu kutotendewa haki.

 

9 years ago

Mwananchi

Uandishi usio uandishi wa habari

Kama kuna uandishi wa habari ambao utachukiza na hata kuchefua wasomaji na wasikilizaji Jumapili hii, ni unaofanana na huu hapa.

 

5 years ago

Michuzi

Hofu yatanda baada ya mshukiwa wa Corona kutoroka karantini Zimbabwe

Hali ya taharuki imetanda nchini Zimbabwe baada ya mtu anayeshukiwa kuwa na virusi vya Corona kutoroka hospitalini alikokuwa amewekwa karantini na kwenda kusikojulikana.

Gazeti la serikali la Herald limeripoti kuwa, mshukiwa huyo wa Corona alikuwa ametengwa katika chumba maalumu akisubiri kufanyiwa vipimo katika Hospitali ya Magonjwa ya Kuambukiza ya Wilkins katika mji mkuu Harare kabla ya kukimbia.

Vyombo vya dola nchini humo vimesema vimeanzisha msako mkali wa kumtafuta raia huyo wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanaharakati waelezea kukerwa Ethiopia

Tume ya kuwalinda waandishi wa habari CPJ, imekosoa Ethiopia kwa kutumia sheria ya ugaidi, kuzima harakati zozote za upinzani nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani