Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanajeshi wastaafu wakerwa na Ukawa

WANAJESHI wastaafu nchini wamevitaka vyama vinavyounda umoja wa Ukawa kufuta usemi wake kwamba wapo wanajeshi wastaafu waliojiunga nao kwa ajili ya kusaidia mikakati ya kufanikisha ushindi wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wapinzani watetea wanajeshi wastaafu

KAMBI rasmi ya upinzani bungeni, imeitaka serikali kuwa makini na maisha ya wanajeshi wastaafu ambao wamekuwa wakiishi kwa kuombaomba. Kutokana na mwenendo huo, kambi hiyo imepanga kufanya maandamano nchi nzima...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu wanajeshi wastaafu kudai Sh. Milioni 3

Mkurugenzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene.

Gazeti la Kiingereza la The East African, Toleo Na. 1030 lililochapishwa mwishoni mwa wiki, Jumamosi, Julai 26, 2014, limeandika habari yenye kichwa cha habari “Ex-soldiers want $3m for covert Congo operation”, ikiwa na maana kuwa wanajeshi wastaafu wanadai kulipwa dola za Marekani milioni tatu kwa kushiriki operesheni ya siri katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Inadaiwa katika habari hiyo kwa zaidi ya wanajeshi 400...

 

11 years ago

Habarileo

Maaskofu wakerwa na wabunge

Askofu wa Katoliki Jimbo la Dodoma, Mhashamu Gervas Nyaisonga. KUSHAMIRI kwa matukio ya kupigana vijembe, kebehi, kashfa na mipasho katika Bunge Maalumu la Katiba, kumezidi kuwaibua wengi wakilaani na kukemea hali hiyo inayotajwa kuharibu nia nzuri ya serikali ya kuhakikisha Katiba bora inapatikana kwa wakati.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakerwa na uzembe Moshi

Wananchi wa Kijiji cha Himo, Kata ya Makuyuni, wilayani hapa mkoani Kilimanjaro wameonyesha kukerwa na kitendo cha halmashauri ya kijiji kutoichukulia hatua kampuni iliyoshinda zabuni ya kukusanya ushuru wa malori yanayosafirisha mazao kwenda Kenya.

 

9 years ago

Habarileo

Wadau wakerwa na Sh 1,200 DART

NAULI ya Sh 1,200 iliyopendekezwa na watoaji wa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka (UDA RT) imepingwa na wadau wa sekta ya usafiri, badala yake wameshauri iwe kati ya Sh 400 na 500 kutimiza malengo ya kusaidia wananchi wa kipato cha kawaida.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake wakerwa na mauaji Misri

Zaidi ya wanawake 100 wa Misri wameandamana mjini Cairo, kutaka uchunguzi ufanywe dhidi ya mauaji ya mkereketwa wa haki za kibinadamu, Shaimaa Sabbagh.

 

11 years ago

Habarileo

Wawakilishi wakerwa kupapaswa uwanjani

BAADHI ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu kuweka vifaa vya kisasa vya ukaguzi kwa abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar na kuacha tabia ya kuwakagua abiria kwa kuwapapasa mwili.

 

10 years ago

Habarileo

Wakerwa wanafunzi kuwa vibarua

WANANCHI katika kijiji cha Karukekere wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha wanafunzi wa Shule ya Msingi Karukekere, kudaiwa kufanyishwa kazi za vibarua vya kulima na kazi nyingine na walimu wa shule hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wakerwa matumizi ya dola

Wabunge wameonyesha kukerwa na mtindo unaoshamiri wa matumizi ya Dola ya Marekani nchini, jambo ambalo linasababisha kuporomoka kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani