Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapinzani watetea wanajeshi wastaafu

KAMBI rasmi ya upinzani bungeni, imeitaka serikali kuwa makini na maisha ya wanajeshi wastaafu ambao wamekuwa wakiishi kwa kuombaomba. Kutokana na mwenendo huo, kambi hiyo imepanga kufanya maandamano nchi nzima...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wanajeshi wastaafu wakerwa na Ukawa

WANAJESHI wastaafu nchini wamevitaka vyama vinavyounda umoja wa Ukawa kufuta usemi wake kwamba wapo wanajeshi wastaafu waliojiunga nao kwa ajili ya kusaidia mikakati ya kufanikisha ushindi wao.

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu wanajeshi wastaafu kudai Sh. Milioni 3

Mkurugenzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene.

Gazeti la Kiingereza la The East African, Toleo Na. 1030 lililochapishwa mwishoni mwa wiki, Jumamosi, Julai 26, 2014, limeandika habari yenye kichwa cha habari “Ex-soldiers want $3m for covert Congo operation”, ikiwa na maana kuwa wanajeshi wastaafu wanadai kulipwa dola za Marekani milioni tatu kwa kushiriki operesheni ya siri katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Inadaiwa katika habari hiyo kwa zaidi ya wanajeshi 400...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wadau watetea wanyamapori London

Wahifadhi wakuu wa mazingira kutoka kote duniani wanakutana mjini London Uingereza kubuni mikakati ya kukomesha Uwindanji haramu wa wanyama pori walio katika hatari ya kuangamia.

 

11 years ago

Habarileo

Wasomi watetea mfumo wa Muungano

WASOMI mbalimbali wa vyuo vikuu vya Dodoma (UDOM) na Dar es Salaam (UDSM), wametetea mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kudumisha amani na utulivu licha ya changamoto zinazojitokeza.

 

11 years ago

Mwananchi

Watetea Machinga kuondolewa Mbeya

Wamiliki wa maduka jijini hapa wameunga mkono hatua za mamlaka kuvunja vibanda vilivyokuwa kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam kwenda Zambia katika maeneo ya Mafiati, Mwanjelwa, Kabwe hadi Mama John.

 

9 years ago

Habarileo

Wabunge Nkasi watetea nafasi zao

WABUNGE wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliomaliza muda wao katika majimbo ya Nkasi Kaskazini na Kusini mkoani Rukwa, wametetea nafasi zao baada ya kuibuka washindi katika uchaguzi.

 

10 years ago

Habarileo

Watetea viongozi kufungua akaunti nje

BAADHI ya wajumbe wa Bunge la Katiba wametetea viongozi kufungua akaunti nje ya nchi wakisema uongozi si utumwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waamuzi Tanzania watetea beji za FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), limewapa beji waamuzi 10 wa Tanzania kwa mwaka 2014. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Shirikisho la...

 

10 years ago

Habarileo

Madiwani 10 Monduli watetea nafasi CCM

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.MADIWANI 10 kati ya 15 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata za wilaya ya Monduli mkoani Arusha, waliodaiwa kukihama chama hicho, wamechukua fomu za kutetea nafasi zao kwa tiketi ya CCM na kuzirejesha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani