Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanakijiji Pande wafurahia neema ya huduma za afya

MARADHI ni mojawapo ya maadui watatu ukiacha ujinga na umasikini. Hivyo bila kuwa na mchango wa sekta binafsi au wafadhili, serikali pekee haiwezi kupambana nayo. Ukosefu wa huduma za afya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANAKIJIJI WA KIJIJI CHA ENGUSEROSAMBU WAFURAHIA MSITU KUREJESHWA MIKONONI MWAO.

Mraghbishi Noorkiyengop Mbaima toka kijiji cha Enguserosambu akisimama mbele ya mifugo iliyokutwa msituni katika eneo lililoruhusiwa la msitu wa jamii wa Enguserosambu
Ilikuwa ni siku ya shangwe na furaha kwa wananchi wa kata ya Enguserosambu wilayani Ngorongoro. Hii ni baada ya serikali kukubali ombi lao la kusimamia rasilimali ya msitu wa Loliondo namba 2 unaopakana na vijiji vinne vinavyokadiriwa kuwa na idadi ya wakazi wapatao 20,000 wanaotegemea mahitaji yao toka katika huo msitu.
Huu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wastaafu wafurahia huduma za NHIF

BAADHI ya walimu wastaafu wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, wameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kuwa na fao la wastaafu linalowapa uhakika wa matibabu...

 

10 years ago

Michuzi

Tabora wafurahia huduma za madaktari Bingwa

Na Grace Michael, Tabora
WAGONJWA waliofika na kupata huduma za Madaktari Bingwa ambao wapo kwenye mpango unaoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wamefurahia huduma hizo na kusema kwamba zimeokoa fedha nyingi ambazo wangetakiwa kuzitumia kusafiri kufuata huduma hizo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika Hospitali ya Mkoa wa Tabora, Kitete, walisema kwamba ujio wa Madaktari hao umewasaidia kupata huduma nzuri na zinazohitajika bila ya usumbufu wa aina yoyote na wala kutumia...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAWAFIKISHIA WANAKIJIJI WA SIGUNGA KIGOMA HUDUMA ZA MAWASILIANO

Timu ya Airtel wakiongozwa na Emanuel Rafael zone Businnes Manager mara baada ya uzinduzi wa mnara wa kampuni ya mawasiliano ya airtel katika kijiji cha Sigunga wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma hafla ya uzinduzi imefanyika jana kijijini humu

2.Mkuu wa wilaya Khadija Nyembo akiangea wakati wa uzinduzi wa mnara wa airtel katika kijijin cha Sigunga wilaya ya… ...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi wafurahia huduma za NHIF maonesho ya Utumishi wa Umma

Meneja wa Masoko na Elimu kwa Umma, Anjela Mziray na Ofisa Matekelezo, Geofrey Tumaini wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakitoa ufafanuzi kwa wananchi waliotembelea banda la Mfuko katika Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.  Maofisa wa NHIF wakiongozwa na Meneja wa Mkoa wa Temeke, Ellentruda Mbogoro (kushoto) wakichambua na kuhakiki fomu za wanachama waliowasilisha fomu za usajili kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya matibabu. Ofisa Mifumo Habari wa NHIF, Donald...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB TAWI LA MOSHI WAFURAHIA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja ,aliyekaa ni meneja wa tawi hilo Francis Mollel.Baadhi ya afanyakazi wa kike wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakiweka pozi la picha pembeni ya Keki.Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Moshi akikata keki kwa ajili ya wateja.Keki maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakati wa week ya huduma kwa wateja. Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

 

9 years ago

StarTV

Sera Ya Afya Kutotungiwa Sheria yasababisha  Wazee nchini wakosa huduma bora za afya

Kukosekana kwa huduma bora katika sekta ya afya inayowatambua wazee kupata matibabu bora na bure kunatokana na sera ya wazee kutotungiwa sheria tangu mwaka 2003 inayotoa muongozo kwa watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali kuwahudumia.

Licha ya sera hiyo kutoa mwongozo kwa kila zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya na mkoa kuwa na chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee ikiwemo daktari anayetambua magonjwa yao lakini bado sera hiyo haitekelezwi.

 Naibu Mkurugenzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA MUONGOZO WA MPANGO HUDUMA ZA AFYA KATIKA JAMII PAMOJA NA MATUMIZI YA DASHBODI YA VIASHIRIA YA AFYA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisoma maelezo baada ya kuzindua Muongozo wa Mpango wa Watoa huduma ya Afya ya Jamii, Dar es Salaam jana. Wizara ya Afya imezindua muongozo huwa ikiwa ni muendelezo wa kuendelea kutoa kipaumbele katika kuimarisha huduma za kinga, ikiwemo elimu ya afya na uhamasishaji, lishe, udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza kama Ukimwi na afya ya mama na mtoto.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani