Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI HAWAONI KAMA WANAO UWEZO WA KUISHAWISHI SERIKALI

2 Septemba, 2014, Dar es Salaam: Wananchi walio wengi (70%) wanaripoti kuwa sauti zao hazisikiki katika maamuzi ya Serikali. Pamoja na haya, wananchi saba kati ya kumi (71%) wanaripoti kuwa, kwa maoni yao, upigaji kura ndio njia pekee ya kuleta ushawishi kwa Serikali. Kimsingi, haya yanaonesha hisia zilizofanana – kwamba mbali na uchaguzi unaofanywa wakati wa kupiga kura – wananchi wengi hawana ushawishi kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wanao uwezo kuwafunga Al Ahly

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika michuano ya soka ya kimataifa, Yanga, kesho watawakaribisha mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Ahly ya Misri. Yanga watawakaribisha mabingwa hao mara nane wa...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi waishukuru serikali kuwajengea uwezo wa kupunguza athari za maafa ya ukame

Na. Mwandishi Maalum
Wananchi wa Wilayani  Same katika  kata ya Hedaru, Makanya na Vunta wameishukuru serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya uratibu maafa, kwa kuwajengea uwezo wa kuzuia, kupunguza na kukabiliana na maafa yanayotokana na ukame ambao umekuwa ukizisumbua kata hizo Kutokana na mabadiliko ya Tabia Nchi.
Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kujengea jamii uwezo wa kukabili maafa ya ukame imefanikiwa kujenga uwezo huo kupitia vikundi vya maendeleo...

 

5 years ago

Michuzi

WADAU KUISHAWISHI SERIKALI KURIDHIA MKATABA WA DEMOKRASIA,UTAWALA BORA


Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha kupambana na vitendo vya ukatili wa Kijinsia (CAGBV), Sophia Komba, ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya LHRC akiongea na Vyombo vya habari katika kikao hicho kilichowakutanisha wadau wa haki za binadamu ili kuupitia mkataba wa Afrika unaohusu demokrasia, uchaguzi , utawala bora na haki za binadamu kwa lengo la kuweka mikakati ya kushawishi serikali iweze kuuridhia. Mkutano huo ulifanyika Dodoma mapema leo.

Afisa Programu na Mratibu wa Ofisi Dodoma wa Kituo Sheria...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA MANISPAA YA MOSHI AWASEMEA WATENDAJI WANAO HUJUMU MALI ZA UMMA KWA WANANCHI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi na Mwenyekiti wa Chadema Manispaa ya Moshi Jafary Michael akiwahutubia wakazi wa mji wa Moshi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Manyema mjini Moshi.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael katika viwanja vya Manyema ,Meya Jafary alikuwa akizungumzia vitendo vya Uporaji wa Viwanja vya Umma pamoja na tatizo la wafanya biashara ndogo ndogo  maarufu kama...

 

9 years ago

Michuzi

UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA VIJIJI NI DHANA KUU YA KUTATUA KERO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WANAO WAONGOZA

Baadhi ya wenyeviti toka Halmashauri ya wilaya ya Kishapu wakimsikiliza mkufunzi (hayupo pichani) wakati wa mafunzo yao yaliyofanyika wilayani hapo. 
“Unakuja kwenye ofisi yangu na kutoa taarifa za ubadhirifu wa mtendaji wa kijiji. Nakuuliza, je umechukua hatua zipi kama kiongozi wa kijiji kabla kuja kwenye ofisi yangu? Unanijibu hapana, hii si sahihi,” Hayo ni maneno ya mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Hashim Mgandilwa, aliyoyatoa wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya wenyeviti wa vijiji, watendaji...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. SAMUEL SITTA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUISHAWISHI JAMII JUU YA UELEWA WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta pamoja na Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Kijazi wakijadili jambo wakati wa mkutano na wanahabariakiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani tarehe 23 Machi 2015
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta (MB) akiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 23 Machi, yenye kauli mbiu isemayo 'Uelewa wa hali ya hewa kwa maamuzi stahiki'. Pembeni ni Mkurugenzi Mkuu TMA, Dkt. Agnes...

 

11 years ago

Bongo5

Teknolojia: LG kutengeneza TV nyembamba kama karatasi zenye uwezo wa kuviringishwa

Kampuni ya LG Electronics ya Korea kusini imetangaza kuwa iko mbioni kutengeneza TV zenye wembamba kama wa karatasi, na ambazo zinaweza kukunjwa au kuviringishwa bila kuharibika. Kampuni hiyo imesema kwa sasa inatengeneza toleo lenye ukubwa wa inchi 18 na kuongeza kuwa toleo la inchi 60 litaingia sokoni ifikapo 2017. “We are confident that by 2017, […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

LEAT yawajengea uwezo wananchi kulinda rasilimali

CHAMA cha Wanasheria Watetezi wa Mazingira (LEAT) kwa sasa kinaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wananchi, kamati za maliasili na mazingira na viongozi kutoka vijiji na kata mbalimbali za wilaya ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM hawaoni wala kusikia waambiwayo

“KWA kadiri ya hali ya nchi yetu, ziko sababu za kutosha kutaka katiba mpya. Sababu hizo ni pamoja na ufisadi, wananchi kujisikia kukosa usalama, na nchi kutokuwa na dira, tunu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani