Wananchi Njombe wahofia kukosa kuandikishwa
Wananchi mkoani Njombe, wameanza kuwa na wasiwasi huenda wakashindwa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kutokana na kazi hiyo kufanyika taratibu kwa sababu ya uchache wa mashine za kuandikishia na kasi ndogo ya maofisa uandikishaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper17 Mar
Kigoma, Rukwa wahofia wakimbizi kuandikishwa
WABUNGE wa mikoa ya Kigoma na Rukwa wameiomba serikali kuhakikisha wanadhibiti upigaji kura na uandikiswaji katika daftari la wapigakura watu wasio raia wa Tanzania walioko kwenye maeneo ya mipakani.
Kauli hiyo, ilitolewa, bungeni mjini hapa na wabunge, Josephine Genzabuke (Viti Maalum-CCM) na Ally Keisy, (Nkasi Kaskazini-CCM).
Akiuliza swali la nyongeza Gezabuke, alitaka kujua serikali imejiandaa vipi kuchukua hatua mahususi juu ya watu watakaotambuliwa kuwa wakimbizi wakiwa wamejiandikisha...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Wananchi wahofia umiliki wa gesi
SHIRIKA la Twaweza limeeleza kuwa Watanzania wengi wana wasiwasi na serikali pamoja na matajiri katika kunufaika na upatikanaji wa mafuta na gesi nchini. Kwamba wananchi wamekuwa na imani kuwa gesi...
10 years ago
Mtanzania21 May
Polisi wapambana na wananchi Njombe
Na Francis Godwin, Njombe
JESHI la Polisi jana lililazimika kutumia zaidi ya saa 5.00 kupambana na wananchi waliokuwa wakiandamana bila kibali wakitaka kuchukua maiti ya mmoja wa wakazi wa Njombe aliyedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi hilo wakati wa msako wa wanywa pombe.
Mtu huyo inaelezwa alifariki dunia juzi na mwili wake kuhifadhiwa katika Hospitali ya Kibena.
Inaelezwa wananchi hao walikuwa wakiandamana kuuchukua mwili wa marehemu huyo na kuupeleka...
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Wananchi wa mkoa wa Njombe ni mfano wa kuigwa katika zoezi la BVR
Kazi ya kuandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometrick Voters Registration (BVR), ambao huhusisha uchukuaji wa alama za vidole na picha, jana iliingia siku ya tatu, huku baadhi yao wakipongeza utendaji wake.
Kwa mujibu wa ripoti iliyokusanywa na mwandishi wetu inasema kuwa tokea siku ya kwanza lilipoanza zoezi hilo lilionyesha matumaini maana wananchi wetu walijitokeza kwa wingi.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi katika vituo vya...
5 years ago
StarTV19 Feb
Wananchi waandamana kukosa maji baada ya mhudumu wa maji kukamatwa na DC
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Wapiga kura kuandikishwa upya
KILIO cha muda mrefu cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutaka Daftari la Kudumu la Wapiga Kura liboreshwe kimepata jibu baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuamua...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-rK1VaY_EFGI/VeNpEL0ZFlI/AAAAAAAH1Dw/l8iu0v-1eeo/s72-c/_MG_9335.jpg)
MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA NDANI YA WILAYA YA NJOMBE MKOANI NJOMBE.
![](http://2.bp.blogspot.com/-rK1VaY_EFGI/VeNpEL0ZFlI/AAAAAAAH1Dw/l8iu0v-1eeo/s640/_MG_9335.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-zAT65H3Am_E/VeNpGtatB2I/AAAAAAAH1D4/FBH4SCVozZM/s640/_MG_9451.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-K6dpwzuXxpo/VeNojq8T0kI/AAAAAAAH1DQ/VgfvkNY33tI/s640/_MG_9275.jpg)
10 years ago
Mtanzania30 May
Wanafunzi walilia kuandikishwa kupiga kura
NA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM
MTANDAO wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) umeipa siku saba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutoa ufumbuzi wa namna watakavyoandikishwa katika daftari la kudumu la kupigia kura kupitia mfumo wa BVR, kwa kuwa kuna mwingiliano na ratiba za masomo.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Kaimu Mwenyekiti wa TSNP, Shitindi Venance, alisema wanaiomba NEC ieleze jinsi gani wanafunzi walioko vyuoni na wale walioko sekondari za bweni ambao wana sifa za kupiga kura...