Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WAELEZA MAFANIKIO YA UTAFITI RAGHBISHI WA TGNP‏

Baadhi ya wanaharakati ngazi ya jamii wakielezea mafanikio ya utafiti wa kiraghbishi unaofanywa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) katika maeneo yao ulivyokuwa chachu ya baadhi ya mabadiliko kwenye mkutano jijini Dar es Salaam. Bi. Marjorie Mbilinyi mwanachama wa TGNP Mtandao akiwasilisha mada katika semina hiyo. Baadhi ya washiriki wa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi waeleza mafanikio ya utafiti kiraghbishi wa TGNP

IMG_0053

Baadhi ya wanaharakati ngazi ya jamii wakielezea mafanikio ya utafiti wa kiraghbishi unaofanywa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) katika maeneo yao ulivyokuwa chachu ya baadhi ya mabadiliko kwenye mkutano jijini Dar es Salaam.

IMG_0057

Bi. Marjorie Mbilinyi mwanachama wa TGNP Mtandao akiwasilisha mada katika semina hiyo.

IMG_0042

Baadhi ya washiriki wa semina ya kutathimini utafiti wa kiraghbishi uliofanywa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) katika baadhi ya kata za mikoa ya Morogoro, Shinyanga,...

 

11 years ago

GPL

MATUKIO KATIKA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA TGNP‏

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...

 

11 years ago

GPL

TGNP MTANDAO YAMPOTEZA MWANACHAMA MWANZILISHI NA MWENYEKITI WA KWANZA‏

Marehemu Dada, Fides Chale (1940 - 2014). TGNP Mtandao tumepata pigo kubwa kwa kumpoteza mwanaharakati na Mwenyekiti wa kwanza wa shirika, aliyefariki Juni 2, 2014 Ubungo Msewe Dar es Salaam. Fides Chale alikuwa ni mwalimu na kiongozi aliyegusa maisha ya wengi hapa Tanzania, Mwanaharakati mtetezi wa haki za wanawake, wasichana na makundi mengine yaliyoko pembezoni. Dada Fides amekuwa mtu wa watu, mcheshi, mwenye upendo, utu,...

 

11 years ago

GPL

TGNP NA KONGAMANO LA WAZI KUJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA‏

Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi (katikati), akitoa hotuba yake wakati wa kongamano la wazi la jamii kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya. (kushoto), Mdau wa Maendeleo Humphrey Polepole, na kulia Mwanaharakati wa Masuala ya Kijamii na Haki za Binaadamu, Gemma Akimali. Kushoto, Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi akiteta jambo na Mwanaharakati wa Masuala ya...

 

11 years ago

GPL

TGNP MTANDAO YACHAMBUA BAJETI NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI‏

Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari jana. Mmoja wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha matokeo ya tafiti mbalimbali za TGNP zilizofanywa kwa jamii. Aliyekuwa Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Usu Mallya (kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa TGNP na wahariri hao. Juu ni baadhi ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utafiti Polisi Jamii waonyesha mafanikio

JESHI la Polisi nchini limetakiwa kutumia matokeo ya utafiti wa tathmini ya Polisi Jamii uliofadhiliwa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kuboresha mkakati wa Polisi jamii ili kuimarisha ulinzi...

 

10 years ago

Michuzi

UTAFITI WA POLISI JAMII UMEONYESHA MAFANIKIO MAKUBWA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya ndani ya nchi Mbaraka Abdualwakili, akizindua chapisho la tathmini ya Polisi Jamii nchini, hafla hiyo ilifanyika jana Makao Makuu ya Polisi  Jijini Dar es Salaam. Picha Alexander Mpeka – Jeshi la Polisi  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi Bw.  Mbaraka Abdualwakil, Mwakilirishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia  ambaye ni Mkurugenzi wa utawala na rasilimali watu, Bi Selina Lyimo wakiwa Naibu Inspekta Jenerali wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti:Wananchi wanaunga mkono Rasimu

Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Taasisi ya Twaweza umebainisha kuwa wananchi wanaunga mkono kwa kiwango kikubwa Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa ikiongozwa na Jaji Joseph Warioba.

 

11 years ago

GPL

UTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI DAR‏

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kukamilisha SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono mwishoni mwa wiki kwenye kituo cha maelezo ya afya Muhimbili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani