Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wakodi wakili kuapisha mwenyekiti

Baada ya subira ya wiki mbili ili wenyeviti na wajumbe Mtaa wa Migombani - Segerea, Dar es Salaam waapishwe na mamlaka husika bila mafanikio, wananchi wameamua kuwaapisha viongozi hao kwa kutumia wakili binafsi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Segerea aapishwa na wakili binafsi

Baada ya kusubiri kwa muda wa wiki mbili ili wajumbe serikali ya mtaa wa Migombani-Segerea waapishwe na mamlaka husika bila mafanikio, wananchi wameamua kuwaapisha viongozi hao kwa kutumia wakili binafsi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakodi wanaume kutoka Kenya

>Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo amesema tatizo la ulevi kupindukia wilayani humo, limewaathiri wanaume kiafya na kuwataka watendaji kulivalia njuga.

 

11 years ago

Habarileo

Siku mbili na nusu kutumika kuapisha wajumbe

SHUGHULI ya kuapishwa wajumbe wa Bunge maalumu la katiba itachukua siku mbili na nusu kutokana na wajumbe hao kupinga kuapishwa kimakundi kama ilivyopendekezwa awali na kamati ya kanuni na sasa ataapishwa mjumbe mmoja mmoja.

 

10 years ago

Mtanzania

Wananchi wamwapisha mwenyekiti wa mtaa

Pg 1NA OLIVER OSWALD, DAR ES SALAAM
WANANCHI wa Kata ya Migombani, Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, jana walimwapisha Japhet Kembo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa mwenyekiti mpya wa Mtaa wa Migombani, wakidai ndiye mshindi halali wa nafasi hiyo katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana.
Sambamba na hilo pia wananchi hao waliwaapisha wajumbe watano wa kamati ya mtaa huo, ambao ni Rose Mhagama, Flora Nyangeta, Angelo Machunda,...

 

9 years ago

GPL

NICKI NA MEEK MILL WAKODI UKUMBI KUTAZAMA MUVI

Marapa Nicki Minaj na Meek Mill ambaye ni mpenzi. New York, Marekani WAKATI, marapa Nicki Minaj na Meek Mill ambaye ni mpenzi wake wakitegemewa kumaliza ziara yao ya The Pinkprint waliyoianza tangu mwezi uliopita,wameendelea kufanya vituko baada ya hivi karibuni kokodi ukumbi kwa ajili ya kutazama muvi inayoitwa Staight Outta Compton,wakiwa wawili tu. Tukio hilo linalojenga vichwa vya habari kwenye anga la burudani kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wamsimika ‘mwenyekiti’ wao kibabe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana nchini, ulitawaliwa na vituko katika sehemu nyingi, lakini kikubwa ni kile kilichotokea katika Kijiji cha Kambi ya Chokaa, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara baada ya wananchi kumweka madarakani na kumwingiza ofisini Joshua Kuney (CCM) kuwa mwenyekiti wa kijiji hicho, badala ya Mbuki Mollel aliyeteuliwa na chama hicho kuwania nafasi hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA CHADEMA AWAHUTUBIA WANANCHI

WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiongozana na Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPImakamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPI akiwahutubia wananchi katika jimbo la Mufindi Kasikazini.WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiwahutubia wananchi wa jimbo la mufindi kusini ambako anatarajia kugombea ubunge kupitia chadema.
Wananchi wa wilaya ya mufindi mkoani Iringa wamelalamikia ugumu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana aagiza wananchi kumbana mwenyekiti wao

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameuagiza uongozi na wananchi wa wilayani hapa mkoani Manyara kumbana Mwenyekiti wa Chadema wa wilaya, Augustino Mayomba anayedaiwa kumiliki hati ya mkataba wa mnara wa simu wa Vodacom uliopo Kijiji cha Bassotu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wamshitaki mwenyekiti wao kwa mbunge

WAKAZI wa Kijiji cha Kongogo wilayani hapa mkoani Dodoma, wamemshitaki Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Daudi Husein kwa Mbunge wao, Omar Badwel (CCM), kwa madai ya kujigeuza Mungu mtu katika utendaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani