WANAOAFIKI SAKATA LA IPTL LIENDELEE WASEME NDIYO, WASIOAFIKI WASEME..!
![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbad3WrURVasB9hRLoP-5kwkxfOm2tTYH76uhRvDM6gD8T98esIEEhKefvg8OBJ8TeB*7Xqal5faD7vHV5wdbd53s/jk1.jpg?width=650)
SAKATA la IPTL na kizungumkuti cha akaunti tata ya Escrow linazidi kufukuta na kutikisa taifa. Misingi ya amani ya nchi inazidi kuharibiwa kila siku, ufisadi, chuki na uhasama baina ya makundi na masilahi ni kansa inayoshambulia uhai wa Tanzania. Ninapotazama mambo ya nchi yanavyokwenda kitotototo nasikitika; lakini kubwa zaidi naamini kuwa kuna baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali hawataki kuliona taifa hili likistawi na...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Kingunge? Waseme wengine
UAMUZI wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru kujiondoa kwenye chama hicho
Waandishi Wetu
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Wapinzani waseme ‘haya twende’
MTOTO anapozaliwa hutoa kilio na anapochelewa kufanya hivyo huonekana kuwa sio jambo la kawaida na kuna kuwepo wasi wasi juu ya hali ya mtoto huyo. Inapotokea mtoto hajatoa hicho kilio, mzazi kama...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Dogo Aslay aja na ‘Wacha Waseme’
KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Asilahi Isihaka ‘Dogo Aslay’, anatarajiwa kuachia kibao kipya kinachojulikana kwa jina la ‘Wacha Waseme’ hivi karibuni. Dogo Aslay anayetamba na wimbo wake mpya...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Viongozi wa dini waseme Sitta aliwaambia nini?
RAIS wangu, siku chache zilizopita, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta aliwatembelea viongozi wawili wa dini, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Shaban bin...
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Wataka sakata la IPTL bungeni
11 years ago
Mwananchi19 May
Sakata IPTL lazidi kuwavuruga wabunge
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Sakata la IPTL, sasa wanasiasa waonywa
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Sakata la IPTL kutinga bungeni Novemba 27
10 years ago
GPLKAMPUNI YA VIP YAFAFANUA SAKATA LA IPTL