Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaodaiwa UDOM kufanya mitihani

SERIKALI imewahakikishia wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) walioshindwa kulipa ada kwamba watafanya mtihani na kama yapo madeni, watayalipa baada ya kumaliza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWWZZZZ: VIJANA WANAODAIWA KUWA NI PANYA ROAD WAFUNGA MITAA JIJINI DAR NA KUFANYA VURUGU KUBWA.

 katika hali isiyo ya Kawaida na ya kuogopesha,kumeibuka taharuki kubwa usiku huu kwa Wakazi wa maeneo mbalimabali ya jiji la Dar,ikiwemo,Sinza,Kinondoni,Mwananyamala,Mabibo,Magomeni,Manzese,Kagera na Mburahati kwa kile kinachoelezwa kuwa vijana waitwao Panya Road wamevamia maeneo hayo na kuwajeruhi watu kwa vitu vyenye ncha kali,visu na mapanga na kuwapora vitu (mali zao) walivyokuwa navyo,kama vile haitoshi baadhi yao wamevunjiwa vioo vya magari yao.
Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUFANYA UNAPOFELI MITIHANI-4

Wanafunzi, leo naendelea na somo hili nililoanza wiki iliyopita.Kwenye elimu hakuna ukomo, kumwita mtu aliyemaliza ngazi fulani ya elimu kuwa amefeli ni kosa la kufikiri ambalo wazazi na wanafunzi wengi wamekuwa wakilifanya. Kusema kweli fikra hizi zina madhara makubwa kisaikolojia, hivyo ni muhimu zikaepukwa kwa vile baada ya kufeli kuna kufaulu, kinachotakiwa ni kutafuta njia nyingine kwa kufuata muongozo ufuatao. HATUA MPYA
...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi kambini Syria kufanya mitihani

Makubaliano yamefikiwa nchini Syria ili kuwaruhusu wanafunzi wanaoishi katika kambi inayokumbwa na vita ya Yarmouk kufanya mitihani yao.

 

11 years ago

Michuzi

MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA LEO,AKABIDHIWA MAJINA 20 YA WANAODAIWA KUJIANDAA KUFANYA FUJO KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA

Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Philip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Phillip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali mapema leo asubuhi ndani ya Ofisi za Makao makuu ya chama hicho,huku akiwaonesha picha iliyotumika kwenye moja ya gazeti la kila siku hapa nchini,kwamba baadhi ya Wapinzani wamekuwa wakitumia vibaya nafasi za kutafuta uongozi kwa kuwadhalilisha watoto kupitia umaskini wao walionao ikiwemo...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi 808,111 wa darasa la saba kufanya mitihani leo


NA RACHEL KYALASERIKALI imewataka wakaguzi wa elimu katika ngazi zote nchini, kuhakikisha idadi ya wanafunzi 808,111 wanaopaswa kufanya mtihani wa darasa la saba inatimia.Aidha, imewataka wakaguzi hao kuchukua hatua kali dhidi ya wazazi na walezi watakaowaelekeza wanafunzi hao kufanya vibaya katika mitihani hiyo kama ambavyo imekuwa ikitokea kwa sababu zisizo za msingi.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alisema jana kuwa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi na...

 

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI - Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM

 Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu
 Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti kwa baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini

 Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Dodoma SACP David Misime---Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini  tarehe 14.01.2015 majira ya 05:30 (kumi na moja alfajiri).        Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime  ameeleza kuwa chanzo cha wananfunzi hao wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanaodaiwa kuchoma ofisi ya Serikali kortini

Watuhumiwa 14 kati ya 106 waliokamatwa na Polisi mjini Moshi juzi kwa tuhuma za kuchoma ofisi ya Serikali ya kata jana walipandishwa kizimbani kujibu tuhuma hizo.

 

9 years ago

Global Publishers

Mastaa wanaodaiwa kuwauza wenzao watajwa

auntlulu1
Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’.

HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA

MASTAA kadhaa hapa Bongo wamekanyaga skendo ya kudaiwa kuwauza wenzao kwa wanaume ambapo katika orodha hiyo wamo Lungi Mwaulanga,Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ na Maimartha Jesse.

Chanzo cha habari kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, mastaa hao ndiyo wamekuwa wakitumika kuwaunganisha wasaniii wenzao kwa mapedeshee huku wao habari hii, waandishi wetu walizungumza na wahusika ambao kila mmoja alifunguka kivyake.

maiMaimartha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani