Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanariadha wanaokunywa maziwa ya Matiti

Wanariadha wanaume wamekiri kuanza kunywa maziwa ya Matiti kama njia ya kusisimua misuli yao na kuongeza nguvu mwili.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ULEGA AZINDUA WIKI YA MAZIWA, KUANZISHA KAMPENI YA KUKAGUA WANAOKUNYWA MAZIWA YA UNGA

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imesema itaanzisha kampeni ya kukagua Ofisi za Umma na binafsi ambazo zinatumia maziwa ya unga badala ya maziwa halisi yanayotengenezwa nchini.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega leo jijini Dodoma wakati akizindua wiki ya maziwa nchini ambayo itafanyika hadi Juni 1.

Naibu Waziri Ulega amesema ni jambo la aibu kuona watanzania wakitumia maziwa ya unga na kuacha yale yanayotengenezwa na watanzania wenzao jambo ambalo amesema...

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI, BODI YA MAZIWA WAGAWA MAZIWA KWA WATU WENYE UHITAJI JIJINI DODOMA

Charles James, Michuzi TV

WATANZANIA wametakiwa kujiwekea Utamaduni wa kunywa maziwa kwa wingi na siyo kusubiri mpaka waandikiwe na Daktari kwani unywaji wa maziwa hujenga afya.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi leo wakati wa ziara yake ya kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji kwa kushirikiana na Bodi ya Maziwa ambapo wamegawa maziwa Lita 1650 yenye thamani ya Sh Milioni Nane.

DC Katambi amesema Ofisi yake itaendelea kuhamasisha unywaji wa maziwa pamoja na kutoa...

 

11 years ago

Michuzi

Bodi ya Maziwa na Heifer Internationl wahamasisha unywaji wa maziwa

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele (kushoto) akitembelea banda la Shirika la Heifer International Tanzania katika maonyesho ya maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni. Mfugaji wa Shrika la Heifer, Emannual Mgesi (aliyevaa Kaunda suti nyekunde) akimweleza Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Joh Henjewe pamoja na wakazi wengine wa Musoma kuhusu ufugaji bora wa ng’ombe wakati wa maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni. Meneja wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD NDIO MAZIWA BORA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UBORA KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO ,MAKAMPUNI 30 YAACHWA MBALI

Afisa masoko wa kampuni ya maziwa ya Asas  Dairies Ltd ya mkoani Iringa Bw Jimy Kiwelu akishangilia baada ya  kampuni yake  kuwa ndio kampuni  bora ya uzalishaji maziwa nchini Tanzania katika mashindano yaliyofanyika mkoani mara Watoto  wa mkoa wa Mara  wakishangaa ubora wa maziwa ya Asas kutoka Iringa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kulia na  viongozi  wengine wakifuatilia maonyesho hayo huku  wakifurahia ubora wa maziwa ya Asas Dairies Ltd.
Picha zaidi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanariadha wa Kenya hatiani

Wanariadha wawili wa kike nchini Kenya, Viola Kimetto na Joyce Kiplimo, wamepigwa marufuku kushiriki riadha, baada ya Shirikisho la riadha Kenya, kugundua walikuwa wakitumia dawa za kuongezea nguvu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha: Wanariadha bado

Kocha wa timu ya taifa ya riadha, Boniface Kimisha amesema wanariadha wa Tanzania wanaoendelea na kambi China bado imeshindwa kuwasaidia kudadilisha viwango vyao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanariadha waandamana Kenya

Kundi la wanariadha waliojawa na hamaki limevamia makao makuu ya shirikisho la riadha nchini Kenya AK

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Wanariadha mna deni

 Rais Jakaya Kikwete aliangalia mechi yote ya fainali ya Kombe la Dunia na jana aliipongeza Ujerumani kwa kutwaa ubingwa, lakini baadaye jioni aliwaaga wanamichezo wa Tanzania  wanaoenda kwenye Michezo ya |Jumuiya ya Madola akisema wana deni kubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanariadha nyota kuchuana

>Wanariadha maarufu Tanzania, Mary Naali, Jacqueline Sakilu, Sarah Ramadhani, Andrew Sambu na Dickson Marwa ni miongoni mwa wakimbiaji watakaochuana kusaka ubingwa wa mbio za Kilimanjaro Marathon.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani