WANAWAKE MSIKUBALI KURUBUNIWA KUUZA SHAHADA ZA KUPIGIAKURA
![](http://4.bp.blogspot.com/-4imASA5qxF0/VgWhZkh1nBI/AAAAAAAAFtk/mdNDpu4-Oc4/s72-c/DED%2B3.jpg)
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi (DED), Saada Malunde akizungumza na wanawake kuhusu kudhibiti shahada zao za kupigiakura na wasikubali kurubuniwa kuuza shahada hizo.
ZIKIWAZIMEBAKIA siku chache kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi (DED), Saada Malunde amewataka wanawake kudhibiti shahada zao za kupigiakura na wasikubali kurubuniwa kuuza shahada hizo.
Alisema kuwa katika hiki cha kuelekea katika uchaguzi mkuu oktoba mwaka...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 May
Waandishi msikubali kurubuniwa- Spika
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amewataka waandishi wa habari nchini, wasikubali kurubuniwa na kutumiwa vibaya na wanasiasa kwa ajili ya kutimiza matakwa yao wakati wanapotekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.
9 years ago
Habarileo04 Oct
Anayenunua shahada hawezi kuona aibu kuuza haki
WANANCHI wametakiwa siku ya kupiga kura kuwa macho na watu wanaoweza kwenda kuwanunua kwa kuwagawia fedha wabadilishe msimamo wao. Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, alitoa hadhari hiyo jana mjini hapa kwenye mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na maelfu ya watu.
10 years ago
Habarileo27 Nov
‘Acheni kurubuniwa na wanaopinga Katiba Pendekezwa’
WANANCHI wa Zanzibar wametakiwa kutokubali kurubuniwa na watu wanaojidai kutetea maslahi ya Zanzibar kwa kupinga Katiba Inayopendekezwa na kubainisha kuwa lengo la watu hao ni kurudisha nyuma maendeleo ya Zanzibar.
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Chawata: Hatupo tayari kurubuniwa na wanasiasa
WATU wenye ulemavu wamesema kuwa hawapo tayari kushawishiwa na kutumiwa na wanasiasa katika suala la upigaji wa kura ya maoni bali watahakikisha wanasoma na kuelewa Katiba inayopendekezwa. Akizungumza jana jijini...
10 years ago
Tanzania Daima10 Nov
Tambaza: Msikubali kumalizana kiaina
UONGOZI wa Kampuni ya Tambaza Auction Mart umesema una mkataba wa kufanya kazi Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam na kuwataka wananchi kuheshimu sheria na kutokukubali kumalizana vichochoroni wanapokamatwa...
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Msikubali kuibiwa, Mtwara waambiwa
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
‘Msikubali wagombea wawalipie ada’
WAFUASI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameonywa wasikubali kulipiwa ada za uanachama na baadhi ya wanasiasa wenye lengo la kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu, badala yake walipe wenyewe. Baadhi...
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Wenje: Msikubali kuchangishwa fedha
MBUNGE wa Nyamagana kupitia Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje, amewashari wananchi mkoani hapa kutokubaliana na uchangishwaji wa fedha na Halmashauri ya Jiji kwa ajili ya ujenzi wa...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
CCWT: Wafugaji msikubali kuburuzwa
MWANASHERIA Mkuu wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Malema Christopher amewataka wafugaji kutokubali kuburuzwa na askari wa wanyamapori au watendaji wa kata wanaowageuza shamba la bibi kwa kuwatoza mamilioni ya...