Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake Pwani wadaiwa kuwarubuni wavulana

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Halima KihembaWANAWAKE wenye umri mkubwa wametakiwa kuacha kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi na vijana wenye umri mdogo, kwani jambo hilo linawapunguzia heshima katika jamii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE


Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa  Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Wadaiwa kuwaua wanawake baada ya kutembea nao

Wafanyabiashara Abubakar Kasanga (28) na Ezekiel Kaseregela (25), wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi mbili tofauti za mauaji ya kukusudia ya wanawake waliokuwa wakifanya nao mapenzi.

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WANAWAKE PWANI WAANZISHA CHAMA CHAO

Na John Gagarini, Kibaha
WANAWAKE nchini wametakiwa kutokubali kufumbia macho vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kuhofia kutengwa na familia zao badala yake wawe watoa taarifa ili kuwadhibiti watu wanaoendeleza vitendo hivyo ambavyo ni kinyume cha sheria na uvunjaji wa haki za binadamu.
Tabia ya kuficha ukatili wa kijinsia imesababisha wahusika kujikuta wakiathirika kutokana na vitendo hivyo ambavyo vimeshamiri kutokana na kuendelea kwa usiri ndani ya familia.
Hayo yalisema jana mjini Kibaha...

 

10 years ago

Michuzi

SOKA WANAWAKE PWANI WAINGIA KAMBINI TAIFA CUP

Na John Gagarini, KibahaTIMU ya soka ya wanawake ya mkoa wa Pwani imeingia kambini kwenye shule ya sekondari ya Baden Powell iliyopo wilayani Bagamoyo kujiandaa na mchezo wake na timu ya mkoa wa Morogoro utakaochezwa Desemba 28 mwaka huu.Mchezo huo ambao utapigwa kwenye uwanja wa Mabatini Mlandizi wilayani Kibaha wa kuwania kombe la Taifa kwa wanawake.Akizungumza leo mjini Kibaha, katibu wa chama cha soka la Wanawake (TWFA) mkoa wa Pwani Florence Ambonisye alisema kuwa maandalizi ya mchezo...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE TUGHE PWANI WATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

VICTOR MASANGU, RUFIJI
Baadhi ya wananchi Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani wamekosa makazi ya kuishi kutokana na nyumba zao pamoja na maduka  kuzingirwa na maji  ikiwemo wengine kukumbwa na changamoto ya mazao yao mbali mbali  zaidi ya hekta 4000 kusombwa na maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha maafa  hayo ambayo yamepelekea wananchi kuishi katika mazingira magumu  hivyo kupelekea kuishi katika mazingira magumu.

Hayo yalibainishwa  na wananchi hao wakati wa ziara ambayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasichana wawaburuta wavulana

Mwandishi Wetu, Mwananchi

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakazi wawatorosha wavulana Kenya

Wakaazi wa Hindi Pwani ya Kenya wanawatorosha wavulana na wanaume kwa sababu ya hofu kuwa wao ndio wanalengwa kwa mashambulizi

 

10 years ago

BBCSwahili

Wavulana 40 watekwa na Boko Haram

Takriban wavulana 40 na vijana wadogo wameripotiwa kutekwa nyara na wapiganaji wa kundi la Boko haram

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani