Wadaiwa kuwaua wanawake baada ya kutembea nao
Wafanyabiashara Abubakar Kasanga (28) na Ezekiel Kaseregela (25), wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi mbili tofauti za mauaji ya kukusudia ya wanawake waliokuwa wakifanya nao mapenzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Oct
Waasi wa ADF wadaiwa kuwaua watu 20 DRC
5 years ago
BBCSwahili02 May
Virusi vya corona: Je dunia imejindaaje baada ya Spanish Flu kuwaua mamilioni?
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Wanawake nao wana upungufu wa nguvu za kike; Soma hapa
NI Jumanne tena huku tumbuatumbua majipu ya serikali ikizidi kupamba moto, safu hii inaendelea kuwaletea elimu kubwa ili kuwaweka wasomaji wake kwenye uelewa mkubwa kuhusu mapenzi na maisha.
INAVYOJULIKANA
Mara nyingi wanaume wamekuwa wakitajwa kama sababu kubwa ya wanawake kutofika katika matarajio ya safari ya tendo la ndoa pindi wanaposhiriki.
Hii inatokana na ukweli wa kibaiolojia kuwa, mwanaume wa kawaida hufika mwisho ndani ya wastani wa dakika 2.3 hadi 5 wakati mwanamke hufika kwa...
10 years ago
Habarileo09 Apr
Wanawake Pwani wadaiwa kuwarubuni wavulana
WANAWAKE wenye umri mkubwa wametakiwa kuacha kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi na vijana wenye umri mdogo, kwani jambo hilo linawapunguzia heshima katika jamii.
11 years ago
CloudsFM12 Jun
WAGANGA WANAOWATIBU WATEJA WAO KWA KUFANYA NAO NGONO WAKAMATWA, WAKUTWA NA NGUO ZA NDANI 22 ZA WANAWAKE HAO
Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambao masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alidai vijana hao Juma Hemedi (32) na Abrahman Mulsin, wote wakazi wa Tandika, baada ya kushiriki ngono na wagonjwa wao huwaambia waache nguo za ndani.
Kamanda Kiondo...
10 years ago
BBCSwahili19 Jul
Cosby aliwalipa wanawake baada ya ngono
10 years ago
MichuziMIAKA 20 BAADA YA BEIJING WANAWAKE WAMEPIGA HATUA-BAN KI MOON