Wanawake walalamikakwa mke wa Lowassa
Na Mwandishi Wetu, Meatu
WANAWAKE wilayani Meatu mkoani Simiyu wamelalamikia kitendo cha kuuziwa kadi za kliniki Sh 3,000, wanapokwenda kupata huduma ya kupimwa.
Hali hiyo, imesababisha wajawazito wengi washindwe kuhudhuria kniliki kwa sababu ya kukosa fedha. Wakizungumza kwa masikitiko mbele ya mke wa mgombea urais kwa wa Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa,mama Regina Lowassa, akina mama hao walisema wanashindwa kuanza kliniki kutokana na gharama kubwa.
Walisema baadhi ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Nov
11 years ago
Habarileo06 Sep
Mke wa Rais ahimiza kliniki kuokoa maisha ya wanawake
MKE wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wanawake nchini kuendelea kupunguza vifo wakati wa kujifungua kwa kuhudhuria kliniki pindi wanapogundua kuwa ni wajawazito.
10 years ago
Mwananchi01 Oct
Mke wa Lowassa awapa mbinu za kupiga kura Babati
10 years ago
Michuzi
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE KUWA MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo [WAMA] anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 8 mwaka huu katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam .
Akizungumzia maadhimisho hayo leo jijini Dar es salaam , Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar se salaam Mhe. Raymond Mushi amesema kuwa maadhimisho hayo mwaka huu yataongozwa na kauli mbiu isemayo “Uwezeshaji...
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Lowassa: Wanawake nguzo ya mabadiliko
10 years ago
Mtanzania27 Aug
Lowassa kuzungumza na wanawake nchi nzima
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Waziri wa zamani, Edward Lowassa, leo anatarajiwa kuzungumza na wanawake wa makundi mbalimbali nchini katika kongamano lililoandaliwa na Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha).
Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee, aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuwa Lowassa atazungumza na wanawake hao kupitia televisheni mbalimbali zitakazorusha tukio hilo moja kwa moja.
Alisema katika mkutano huo mgombea...
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
Lowassa alipohutubia Baraza la Wanawake wa Chadema Jijini Dar

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono baadhi ya Wanawake wanachama wa CHADEMA, waliokuwa wamefurika kwa wingi nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la LAPF, Millennium Tower, Kijitonyama jijini Dar es salaam Agosti 27, 2015.(PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI).

10 years ago
Michuzi
LOWASSA AHUTUBIA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA LEO JIJINI DAR


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
11 years ago
Michuzi.jpg)
MKE WA RAIS MAMA MWANAMWEMA AKUTANA MKE WA MFALME MUSWATI
.jpg)
.jpg)