Wanne wahukumiwa kifo Mwanza
Mahakama kuu ya Tanzania Mwanza imewahukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa washtakiwa wanne wa mauaji ya albino.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Wanne wahukumiwa kunyongwa kwa kuua albino Tanzania
Watu wanne wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na kosa la kumuua Zawadi Magindu (32) mwenye ulemavu wa ngozi, mkazi wa Kijiji cha Nyamaruru, Wilaya ya Geita mkoani hapa.
10 years ago
Mwananchi02 Jul
Wanne wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua albino
>Washtakiwa wanne kati ya watano wa kesi ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino) Henry Mwakajila mwaka 2008 wilayani Rungwe, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa mjini hapa jana.
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Waliopora NMB wahukumiwa kifo
NA WILLIUM PAUL, MOSHI
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi, imewahukumu raia wawili wa Kenya, kunyongwa hadi kufa baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia askari Polisi, wakati wa tukio la uporaji la Benki ya NMB, Mwanga.
Wakati Wakenya hao Samwel Saitoti na Michael Kimani, wakipewa adhabu hiyo, Mtanzania Calist Kanje alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kuwa mshiriki mkuu.
Akisoma hukumu hiyo, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kakusulo Sambo, alisema baada ya...
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
529 wahukumiwa kifo Misri
Mahakama nchini Misri imewahukumu kifo watu 529 ambao ni wafuasi wa Rais aliyeng'olewa mamlakani Mohammed Morsi.
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
683 wahukumiwa kifo Misri
Jaji wa mahakama nchini Misri, amewahuku kifo watt 683 akiwemo kiongozi wa kundi la Muslim Brotherhood Mohammed Badie.
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Wanajeshi wa Nigeria wahukumiwa kifo
Mhakama moja ya kijeshi nchini Nigeria imewahukumu kifo askari 54 kwa kukataa kupigana na kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram.
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
3 wahukumiwa kifo kwa ubakaji India
Wanaume watatu wamehukumiwa kifo Mjini Mumbai, India baada ya kupatikana na hatia katika visa tofauti vya ubakaji
10 years ago
GPL7 WAHUKUMIWA KIFO KWA UBAKAJI AFGHANISTAN
Mmoja wa watuhumiwa hao waliohukumiwa kifo. Hukumu hiyo wakati ikitolewa. WANAUME saba nchini Afghanistan, leo wamehukumiwa kifo baada ya kubainika kuwa waliwabaka kwa zamu…
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
683 wahukumiwa kifo nchini Misri
Miongoni mwao ni kiongozi wa kundi la Muslim Brotherhood Mohammed Badie
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania