Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waomba hifadhi nzuri ya makaburi waliokufa Mv Bukoba

SERIKALi imeshauriwa kuweka mandhari nzuri ya makaburi ya pamoja ya marehemu wa ajali ya meli ya Mv Bukoba yaliyopo Igoma jijini Mwanza, na kushiriki katika kumbukumbu kwani watu kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi hufika katika eneo hilo la kumbukumbu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Magereza waomba ndugu wa mahabusu waliokufa

MIILI ya mahabusu wanne waliokufa katika ajali iliyotokea juzi wilayani Mkuranga, mkoani Pwani, inasubiri kutambuliwa na ndugu kwa ajili ya kuendelea na maziko. Kamishna wa Magereza, John Minja alitoa pole kwa familia za mahabusu hao wanne pamoja na askari magereza mmoja waliokufa katika ajali hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vijana Eritrea waomba hifadhi Ethiopia

Vijana raia wa Eritrea waomba hifadhi nchini Ethiopia wakikimbia kujiunga na Jeshi la nchi yao

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Burundi waomba hifadhi Tanzania

Zaidi ya raia elfu 20 kutoka nchini Burundi wapo magharibi mwa Tanzania wakitaka kuvuka ziwa Tanganyika kuomba hifadhi.

 

10 years ago

Mtanzania

Raia 1800 wa Burundi waomba hifadhi nchini

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIA wa Burundi waliongia nchini na kuomba hifadhi wamefikia 1,852 hadi sasa.

Taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga, ilieleza raia hao waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya Mkoa wa Kigoma.

Alivitaja vijiji hivyo kuwa ni pamoja na Kigaye, Sekeoya na Kakonko. Vingine ni Kosovo, Kagunga na Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha Uhamiaji cha Manyovu kilichopo mkoani humo.

Alisema baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

Idara ya uratibu wa maafa yaridhishwa na zoezi la upokeaji waomba hifadhi kutoka burundi

Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen. Mbazi Msuya akimpongeza Nahodha wa meli ya Mv. Liemba, Mande Mangapi mara baada ya kuwafikisha salama waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi wapatao 600, katika bandari ya Kigoma kutoka Kagunga, saa mbili usiku tarehe 15 Mei 2015, kushoto ni Kaimu Katibu Tawala mkoani Kigoma, Salvatory Shauri. Ujumbe uliongozwa na Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen. Mbazi Msuya ukiwa katika bandari ya Kigoma kwa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUWAHOJI WAOMBA HIFADHI (NEC) YAANZA KAZI KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU, KIGOMA

Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Kuhoji Waomba Hifadhi (NEC), Faraja Nchimbi (watatu kushoto), Katibu wa Kamati hiyo, Philo Nombo (watatu kulia) ambaye anamwakilisha Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi nchini, wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati hiyo baada ya kuwahoji waomba hifadhi katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, iliyopo Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma. Waombaji hao wanatoka nchi mbalimbali ambapo wengi wao wanatoka nchini Kongo. Zaidi ya waomba hifadhi 300...

 

10 years ago

Michuzi

Kigoma wapongezwa kwa ubunifu wa kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi wanaoingia nchini

Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya (mwenye koti) akipata maelezo ya njia ya kutembea kwa miguu kutoka Kagunga hadi Mkigo kutoka kwa mkazi wa kijiji hicho, Mahmud Ahmad wakati alipokagua njia hiyo ili itumike kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi wa Burundi, tarehe 17 Mei, 2015, (mwenye Kaunda suti ) ni Mkurugenzi Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya. Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya (mwenye koti) akiwa katika kijiji cha...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wazidi kuwasili nchini

Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wakiwasili nchini kwa boti hivi sasa kwa boti mbili maeneo ya Kibilizi, Mkoani Kigoma. Bado idadi yao haijafahamika kwani bado zoezi la kuwaandikisha linaelea katika eneo hilo. Ujio wa waomba hifadhi hawa unakuja kutokana na machafuko yanayoendelea nchini humo ambayo yameshika kasi na kusababisha wananchi kuanza kukimbilia nchini Tanzania.Burundi ilikumbwa na machafuko katika miaka ya nyuma na baadaye kuwa na amani lakini sasa inaingia katika mgogoro tena...

 

10 years ago

Vijimambo

SUZUKI ESCUDO INAUZWA BEI NZURI...IPO KWENYE HALI NZURI KABISA

Upande wa Kushoto unavyoonekanaUpande wa Kulia UnavyoonekanaTAARIFA KUHUSU GARI HII NI..........REGISTRATION NUMBER: T 746 AAT
MAKE: SUZUKI
MODEL: ESCUDO
MODEL NUMBER: TDIIW
BODY TYPE: STATION WAGON
COLOR: BLUE METALLIC


Year Of Manufacture:1995
ENGINE CAPACITY: 1998 cc
FUEL USED: PETROL
HALAFU NI 4WD 

TRANSIMISSION: AUTOMATIC.

GARI HII IPO KWENYE HALI NZURI KABISABEI NI MIL 6.5 Tsh.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA HII 0712 390 200kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 Kwa ndani inaonyoonekana

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani