Waomba kunusuru uchumi Zambia
Viongozi wakuu Zambia wanahudhuria siku kuu ya kitaifa ya kufunga na kuliombea taifa hilo ilikunusuru thamani ya sarafu yake
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Kumbi za starehe, michezo zafungwa kunusuru uchumi Zambia
Serikali ya nchi hiyo imetangaza kufungwa kwa kumbi zote za burudani huku mechi zote za mpira zikiahirishwa kupisha siku maalumu ya kuliombea taifa.
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Waomba kunusuru mtama wao
Wananchi wilayani Kishapu mkoani hapa wameiomba Serikali iwapelekee ndege kwa ajili ya kupulizia dawa ya kuua ndege aina ya kolea kolea wanaoshambulia mtama ulioko shambani ili kuweza kuepusha baa la njaa linaloweza kusababishwa na viumbe hao.
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Ugiriki yaomba miaka 2 kunusuru uchumi
Ugiriki imeomba makubaliano mapya na nchi za Ulaya zinazotumia sarafu ya euro ili kunusuru uchumi wake
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Ugiriki iko tayari kunusuru uchumi wake
Serikali ya Ugiriki imeleezea imani yake kwamba mkataba kuhusu madeni yake, utafikiwa ndani ya saa arobaini na nane,
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-iMzXMcHxuWs/U7uLnf3zC6I/AAAAAAAFw_Y/TP0FNkaGr8Q/s72-c/image.jpeg)
BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA AKUTANA NA WATANZANIA WAJASIRIAMALI WAISHIO NDOLA ZAMBIA
Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mhe Balozi Grace Mujuma tarehe 2 Julai hadi 6 Julai 2014 alifanya ziara ya kikazi ya siku nne jimbo la Copperbelt mji wa Ndola. Katika ziara hiyo, Mhe Balozi aliambatana na Afisa Ubalozi Richard M. Lupembe. Sambamba na ziara hiyo, tarehe 6 Julai 2014 Mhe Balozi alikutana na kufanya mkutano na Watanzania ambao ni wajasiriamali wadogo wadogo wanaoishi Mjini Ndola Zambia.
Katika mkutano huo, Watanzania walikuwa na mengi ya kumweleza Mhe Balozi kupitia risala...
Katika mkutano huo, Watanzania walikuwa na mengi ya kumweleza Mhe Balozi kupitia risala...
10 years ago
Mwananchi02 Jul
UCHUMI: Tukiboresha teknolojia, tutakuza uchumi
>Maendeleo ya uchumi na jamii ni mchakato wa ukuaji wa kasi wa pato la taifa na mabadiliko ya mfumo wa uchumi kutoka kutegemea kilimo, ufugaji na uvunaji wa mali ya asili na kuelekea kutegemea viwanda na huduma za kisasa. Nchi maskini zinategemea sana sekta za msingi hususan kilimo, ufugaji na uvuvi.
10 years ago
MichuziRAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Serikali yahaha kunusuru bajeti
Serikali iko taabani kifedha na sasa inatafuta vyanzo vipya vya mapato ili kutekeleza bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2014/2015, ambayo ni Sh19 trilioni.
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Tukiamua tunaweza kunusuru elimu
Elimu ni uti wa mgongo wa maendeleo ya jamii yoyote ile. Jamii iliyoelimika daima iko mstari wa mbele katika kupambana na maadui wakubwa ambao ni ujinga, maradhi na umaskini.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania