Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapinzani waomba NEC iongezewe fedha

Katibu wa NCCR-Mageuzi, Mosena NyambabeVYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimeitaka serikali kuelekeza nguvu na kuongeza fedha kwenye Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) iweze kukamilisha uandikishaji wapiga kura kwa ufanisi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

NEC yakwaza wapinzani

VYAMA vya upinzani vimepinga teknolojia mpya ya Biometric Voter Registration (BVR), itakayotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa NEC hii wapinzani wategemee maumivu

NIANZE na kumshukuru Mungu kwa kunilinda katika kipindi chote ambacho nilikuwa mkoani Iringa nikiripoti kampeni na uchaguzi wa Jimbo la Kalenga, uliomalizika Machi 16, mwaka huu. Nimeanza kumshukuru Mungu kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Waomba fedha ujenzi wa zahanati kukaguliwa

WANANCHI wa Kata na Kijiji cha Chanya katika Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wameomba Serikali kuwapatia Mkaguzi wa Ndani wa Hesabu za Serikali awasaidie kutambua matumizi mabaya ya fedha za ujenzi wa zahanati ambazo hazijulikani zilipo.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUWAHOJI WAOMBA HIFADHI (NEC) YAANZA KAZI KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU, KIGOMA

Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Kuhoji Waomba Hifadhi (NEC), Faraja Nchimbi (watatu kushoto), Katibu wa Kamati hiyo, Philo Nombo (watatu kulia) ambaye anamwakilisha Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi nchini, wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati hiyo baada ya kuwahoji waomba hifadhi katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, iliyopo Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma. Waombaji hao wanatoka nchi mbalimbali ambapo wengi wao wanatoka nchini Kongo. Zaidi ya waomba hifadhi 300...

 

9 years ago

Mwananchi

NYANZA: Mbunge aomba BMC iongezewe bajeti

Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula amemuomba Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kuishawishi Serikali kuitengea bajeti Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC) kwa asilimia 100 ili kuboresha huduma zake kwa wananchi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

10 years ago

Habarileo

Aibana Hazina iipatie NEC fedha za BVR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian LubuvaRAIS Jakaya Kikwete ameagiza Hazina kuhakikisha inaitengea fedha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kazi ya kuandikisha wapiga kura kwa Mfumo wa Teknolojia ya Utambuzi wa Alama za Vidole ‘Biometric Vote Registration’ (BVR) ikamilike kama ilivyopangwa.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aibana Hazina iipatie NEC fedha za BVR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian LubuvaRAIS Jakaya Kikwete ameagiza Hazina kuhakikisha inaitengea fedha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kazi ya kuandikisha wapiga kura kwa Mfumo wa Teknolojia ya Utambuzi wa Alama za Vidole ‘Biometric Vote Registration’ (BVR) ikamilike kama ilivyopangwa.

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

MIKUTANO YA WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA NA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA WASHINGTON, DC

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa CITI na Mkuu wa Afrika kwa kundi la sekta ya utumishiwa umma Bw. Peter M. Sullivan alipo mtembelea Mhe.Waziri kwa madhumuni ya kuisadia nchi ya Tanzania katika ubalozi wa Marekani mjini Washington DC.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania walipokutana na Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly walipokuwa wakijadiliana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani