Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WAPEWA FUTARI YA MALENGO KUTOKA GEPF

Wasanii wa filamu na muziki Bongo wamepigwa semina na wataalam wa mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF kupitia mpango wa hiari wa kujiwekea akiba ya uzeeni. Semina hiyo iliyokwenda sambamba na futari yenye malengo, ilifanyika Julai 25, 2014 katika ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl iliyopo Ubungo jijini Dar.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje

Wewe ni msanii mwenye mawazo ya kuja kufanya collabo na wasanii wa nje ya Tanzania? AY ametoa elimu ndogo kupitia uzoefu wake, wa nini cha kufanya ili collabo yako iwe na maana na ikuletee matunda. “Cha kwanza watu wajue lazima uje na style yako usikae kama wanna be” AY a.k.a ‘mzee wa Zigo’ ameiambia 255 […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

GEPF: Wasanii wajitambue

MFUKO wa wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), umewataka wasanii nchini kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ili wapate mafao ya pensheni na mengineyo yanayotolewa na mifuko husika. Kauli hiyo...

 

11 years ago

GPL

WASANII WAPIGWA SEMINA, GEPF

Mratibu wa Semina hiyo ambaye ni Marketing and Customer Service Manager wa GEPF,  Aloyce Ntukamazina akizungumza na wasanii.
Wasanii wakifuatilia kwa ukaribu maelekezo.…

 

11 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE WAJIUNGA NA MFUKO WA GEPF

Meneja Masoko na huduma kwa wateja wa Mfuko wa GEPF,Aloyce Ntukamazina (kulia) akimkabidhi kadi ya uanachama wa GEPF kwaajili ya kujiwekea akiba,Msanii mkongwe katika bongo movie mzee Chilo mara baada ya tafrija ya ftati iliyoandaliwa maalum kwa wasanii hao.Msanii Jacky Pentezel akipokea kadi ya uanachama baada ya kujiunga na Mfuko wa GEPF kutoka kwa Meneja Masoko na huduma kwa wateja wa Mfuko wa GEPF,Aloyce Ntukamazina.Msaanii maarufu katika tasnia ya filamu,Blandina Chagula a.k.a Johari...

 

11 years ago

GPL

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAPATA WANACHAMA WAPYA WA KUNDI LA WASANII WA FILAMU.

Meneja masoko na huduma kwa wateja wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukanazima akimkabidhi kadi msanii nguli wa filamu mzee Chilo.
Issa Musa ,'Cloud' akipokea kadi yake ya uanachama kutoka kwa Meneja masoko na huduma kwa wateja wa GEPF.
...Fatuma Makongoro, 'Bi.…

 

11 years ago

Michuzi

wasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha mafunzo kwa wasanii wa tanzania

Ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii wa Tanzania kuwa atachangia kuinua kiwango cha ujuzi na weledi wao kwa kuwaandalia mafunzo yatayoendeshwa na magwiji wa sanaa kutoka Marekani sasa imetimia.

TerrenceAkizindua Kampeni ya Uzalendo kwa Vijana inayoendeshwa na Muungano wa Wasanii Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma mwezi uliopita, Juni 14, 2014, Rais Kikwete aliahidi kuchangia kuinua kiwango cha usanii na weledi wa wasanii wa...

 

11 years ago

GPL

WASANII BONGO WAPEWA SEMINA

Mwendesha shughuli hiyo, Ruge Mutahaba akizungumza jambo. Muigizaji, Tellence J akiongea mbele ya wasanii wa Bongo leo. Tellence J na Shaka Zulu.…

 

10 years ago

Habarileo

Wasanii 16 wapewa nyumba ‘kijijini’

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umegawa nyumba nyingine 16 kwa wanachama wake waliokamilisha ujenzi ambako mpaka sasa wanachama 120 wamekabidhiwa nyumba zao katika kijiji cha Wasanii cha Mwanzega, Mkuranga.

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MUVI WAPEWA SEMINA NA TCRA

 Mkurungezi wa Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA, Dk.Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari juu ya semina ya kuwapiga brashi wa wasanii wa bongo Movie leo jijini Dar Dar es Salaam. Afisa Mwandamizi Mkuu wa Kitengo cha Watumiaji wa Huduma za Bidhaa za Mawasiliano wa TCRA,Thadeo Ringo akizungumza na baadhi na wasanii waliohudhuria semina hiyo hawapo pichani iliyoyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi  Makao Makuu,Kitengo cha Kuzuia Uhalifu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani