Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washindi wa Promosheni za Kilimanjaro washerehekea pamoja jijini Dar

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli (shoto) akizungumza jambo na Washindi wa Promosheni za Kilimanjaro kutoka mikoani walikuja Dar kula Bata wakati wa hafla ya Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015, Mlimani City jijini Dar es Salaam. Washindi wa Promosheni za Kilimanjaro kutoka mikoani walikula Bata jijini Dar es Salaam kushuhudia Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015, Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

PROMOSHENI YA GAZETI LA UWAZI JIJINI DAR YAFANYIKA LEO

Wasomaji wa gazeti la Uwazi wakinunua gazeti hilo kwenye gari la matangazo. Mhariri…

 

10 years ago

Michuzi

Promosheni ya Jaymillions yaanza kwa kishindo jijini dar

Mtangazaji wa kituo chatelevisheni ya Taifa (TBC), Bavon Benjamin (wa kwanza kulia) akimsikiliza balozi wa promosheni ya JayMillions Hillary Daud “Zembwela” (wa tatu kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa promosheni hiyo inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ili kujua kama ameshinda, mteja anatakiwa kutuma neno “Jay” kwenda 15544 mara moja tu kwa siku.Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa (kulia) akitoa...

 

11 years ago

Habarileo

Vodacom yajumuika na washindi wa promosheni

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom imejumuika na washindi wake 48 wa iliyokuwa Promosheni ya Timka na Bodaboda, iliyodumu kwa miezi mitatu kutoka Oktoba mwaka jana hadi Januari mwaka huu, huku ikijivunia kuboresha maisha ya mamia ya Watanzania.

 

11 years ago

Michuzi

Washindi Promosheni Shinda Ki-Brazil na Mwanaspoti wazawadiwa

Washindi wa bahatinasibu ya Shinda Ki-Brazili na Mwanaspoti,Issa Rashid (wapili kushoto) na Michael Msumba (wapili kulia) wakipokea zawazi zao kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Mult Choice ( Dstv ) Barbara Kambogi (kulia) na Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi,Edward Uisso. Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi,Edward Uisso (wapili kushoto) akiongea na Mshindi wa promosheni ya Shinda Ki-Brazili na Mwanaspoti,wakati wa kuchezesha droo ya wiki ya pili, kulia ni Afisa Uhusiano wa Mult Choice...

 

11 years ago

Michuzi

Washindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa waipongeza Airtel

 Afisa Mahusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde (wa pili kushoto) akiongelea umuhimu wa promosheni ya Mimi ni Bingwa muda mfupi baada ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa baadhi ya washindi wa promosheni hiyo (waliopo pichani). Kushoto ni Bw. Ramdhani Wefa, Kulia ni Philemon Nathaniel Mgaya akifuatiwa na Bw. Msemwa Makuzi ambaye pia ni mshindi wa tiketi na wote wakiwa wanatokea Dar es salaam. Afisa Mahusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde (kulia) akikabidhi kitita cha shilingi...

 

10 years ago

Vijimambo

SUNDERLAND AFC NA SYMBION POWER WASHEREHEKEA UIDHINISHAJI WA UJENZI WA UWANJA MPYA WA MICHEZO YA UMMA JIJINI DAR-ES-SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wageni waalikwa, wafanyakazi mbalimbali wa Kampuni ya Symbion pamoja na wananchi wakati wa hafla ya kutoa Kibali chake kwa Chuo cha Michezo cha Sunderland kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Umma uliopewa jina la Rais Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park. Tukio hilo limefanyika leo 1 Novemba, 2014 eneo la Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Raymond Mushi akitoa...

 

11 years ago

GPL

DROO NDOGO YA PILI PROMOSHENI YA SHINDA MAHELA YAFANYIKA MABIBO JIJINI DAR

Kijana aliyejitokeza kuchanganya kuponi kwa ajili ya mshindi wa TV na Decoder akichanganya kuponi kabla ya kumpata mshindi. ...Kijana huyo akifunikwa macho ili achague kuponi ya mshindi.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Droo ya tatu ya promosheni ya “Jaza Mafuta na Ushinde” ya GAPCO yafanyika jijini Dar

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya “Jaza Mafuta na Ushinde” inayoendeshwa na Kampuni hiyo kwa Wateja wake wa jijini Dar es Salaam,ambapo zaidi ya wateja 25 huibuka kidedea kila wiki. Kulia anaeshuhudia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Chiku Saleh na Kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.


 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL YAPATA WASHINDI WATANO WA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO

 Afisa huduma za ziada wa Airtel bwana Fabian Felician akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya tano ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Manyara na Bukoba walipatikana (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Bakari Majid (kushoto) droo hii imechezwa jana katika makao makuu ya Airtel Moroco jijini Dar es saalam.Afisa huduma za ziada wa Airtel, bwana Fabian Felician (kulia) akimkabidhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani