Washtakiwa CUF wawazidi ujanja polisi
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
HATI ya kuwafutia mashtaka wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi (CUF) waliotakiwa kuunganishwa katika kesi moja na Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahimu Lipumba, imezua sintofahamu baada ya wafuasi hao kutoweka.
Wafuasi hao waliotakiwa kuachiwa na kukamatwa tena walitoweka jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Emilius Mchauru, baada ya kukubali maombi ya kuwaachia huru yaliyowasilishwa na DPP.
DPP aliwasilisha hati ya kuomba...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Oct
Music: Young Dee — Ujanja Ujanja
9 years ago
Bongo528 Oct
Video: Young Dee — Ujanja Ujanja
9 years ago
Mwananchi16 Aug
CUF yatangaza kuigomea polisi
10 years ago
Habarileo13 Apr
Polisi wafuta mkutano wa CUF
POLISI katika Mkoa wa Kaskazini Unguja wamezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Wananchi (CUF) ambao ulikuwa ufanyike katika Jimbo la Kitope kwa maelezo kuwa haukupata kibali cha jeshi hilo.
10 years ago
Mwananchi02 May
Polisi yazuia mkutano wa CUF Songea
9 years ago
Habarileo15 Sep
Mbunge wa CUF apongeza NEC, Polisi
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Jeshi la Polisi mjini Lindi mkoani Lindi imepongezwa kwa utendaji wake wa kazi kwa kufuata taratibu na sheria kwenye kampeni za uchaguzi zinazoendelea wakati huu.
9 years ago
Habarileo27 Oct
Polisi wazima vurugu za CUF Mji Mkongwe
WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.
10 years ago
StarTV28 Jan
Polisi yatawanya wafuasi wa CUF kwa mabomu.
Na Glory Matola,
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi limelazimika kulipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF waliojiandaa kuandamana hadi Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya baadhi ya wafuasi wake huko Zanzibar.
Pamoja na mabomu hayo, Jeshi hilo pia lilimkamata Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahimu Lipumba, baadhi ya wanachama na mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo na kupelekwa kituo...
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
CUF, NCCR walaani Polisi kupiga waandishi
CHAMA cha Wananchi (CUF), na NCCR Magaeuzi, vimelaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga Waandishi wa Habari waliokuwa wakifuaitilia kuhojiwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...