Wasira autaka urais 2015
Waziri wa Nchi Ofsi ya Rais, Mahusiano, Stephen Wasira katika moja ya mikutano ya CCM.
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira, amesema bado ana nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani.
Kauli hiyo, aliitoa wakati akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi kinachorushwa na Star Tv.
Itakumbukwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiliwaadhibu makada wake sita akiwemo Wassira, mwaka mmoja kutojihusisha na masuala ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania13 Aug
Lissu autaka urais 2015
![Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Tundu-Lissu.jpg)
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu.
NA ELIZABETH HOMBO, Dar es Salaam
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa mara ya kwanza amefunguka na kusema ana nia ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 iwapo chama chake kitaridhia.
Ametoa kauli hiyo ikiwa ni miaka miwili tangu Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), alipojitokeza hadharani akisema kwamba hatawania tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ujao na badala yake atajitosa kwenye...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/u-8Cq3szLXM/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Mwandishi wa habari autaka urais Tucta
MWANDISHI wa Habari Dismas Lyassa ametangaza nia ya kuwania urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) utakaofanyika Agosti 4 na 5 mwaka huu. Lyassa anatangaza uamuzi huo baada ya...
10 years ago
Mwananchi07 Apr
DC ampigia debe la urais Wasira
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Wasira: Urais si mama mkwe
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Bunda wafurahi Wasira kujitosa urais
10 years ago
Mwananchi08 May
Wasira ajipigia mstari mbio za urais
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Wasira, Mwigulu nao wajitosa urais CCM
HEKAHEKA za kuwania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea urais zinazidi kupamba moto baada ya makada wengine wawili, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kutangaza kujitosa katika mbio hizo jana.
Wakati Wasira akitangaza kuhakikisha analeta mageuzi mpya kwa taifa, Mwigulu ameahidi Watanzania kuumiliki uchumi.
Wasira ambaye ni Mbunge wa Bunda, amekuwa ni kada wa pili huku Mwigulu akiwa wa tatu kutangaza nia ya kuwania...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-QJ1iNjevSpE/VX2P12o66-I/AAAAAAABQLI/AhdAjgo713U/s72-c/DSC_0112-FILEminimizer.jpg)
MH. STEPHEN WASIRA AJIVUNIA REKODI YA UADILIFU KATIKA MBIO ZA URAIS
![](http://4.bp.blogspot.com/-QJ1iNjevSpE/VX2P12o66-I/AAAAAAABQLI/AhdAjgo713U/s640/DSC_0112-FILEminimizer.jpg)