Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi Sikieni Kilio Hiki cha JB

Jana nimesikitika sana...kuna kampuni mpya ambayo na mimi nina hisa zangu chache na wazungu fulani (nitaitangaza baadae) ilikuwa inataka watu wa masoko...dah mmh watu karibu 10 kwenye usahili. Wana madigree yao hawana mbinu mpya za kuingiza bidhaa hiyo sokoni..Kaja Mkenya kashinda.

Hivi elimu yetu inatuandaa kuwa tutakapomaliza tuwe chini ya mabosi tutakao wakuta kazini, elimu gani hiyo inashindwa kuikomboa jamii inayokuzunguka..elimu isiyoweza kuajiri hata watu 5...angalia hata kwenye fani...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kilio cha taifa letu ni hiki hapa

Kuongozwa kwa fedha badala ya fikra, tumepotea njia salama, tupo gizani Kilio cha taifa letu ni uongozi! Ili tupige hatua kutoka hapa tulipo sasa, tunahitaji kiongozi bora, mzalendo na anayeishi maisha ya Watanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete asikilize kilio hiki cha SHIWATA

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) chini ya Mwenyekiti wake, Cassim Taalib, hivi karibuni uliitisha kongamano katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijiji Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wasanii, wanamichezo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali, wadau wakisikie kilio hiki cha Chaneta

MASHINDANO ya netiboli kwa nchi za Afrika Mashariki yaliyoanza Machi 22 hadi 29 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, yamefikia tamati mwishoni mwa wiki. Licha ya mashindano hayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Kilio hiki cha Nida ni fedheha kwa Serikali

Kilio cha sasa cha Wakala wa Vitambulisho vya Taifa (Nida) kwamba hawana fedha wala wafanyakazi wa kutosha, siyo kipya kwenye masikio ya Watanzania. 

 

9 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Sikieni, uchaguzi wa 11 ni kipimajoto cha umoja, utaifa wetu

Siku 68 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa 11 wa viongozi wakuu wa nchi, kwa maana ya rais,  wabunge na madiwani, kwa hakika tutarajie kuona mambo mengi.

 

10 years ago

Michuzi

Kilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo

Salam kwako Ankal na timu nzima ya Globu ya Jamii,
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na  utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha

Sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga(KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.Wanahabari wakimhoji Dereva wa basi la abiria kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam kuhusiana na kukamilika kwa sehemu ya barabara hiyo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akikagua sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga(KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.
Ukaguzi wa barabara hiyo ukiendelea kama inavyoonekana.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akiteremka kukagua tuta la barabara ya...

 

5 years ago

Bongo5

Hiki ndio kikosi cha PFA cha wachezaji 11 bora Uingereza msimu huu

Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) kimetaja kikosi chake bora cha ligi hiyo kwa msimu huu unaoelekea ukingoni.

Timu ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ndizo zimeongoza kutoa wachezaji wengi katika kikosi hicho ambapo kila timu imetoa wachezaji wanne. Wachezaji wa Chelsea walioingia katika kikosi hicho ni pamoja na Gary Cahil, David Luiz, N’golo Kante na Eden Hazard.

Nao waliochaguliwa kutoka Spurs ni Kyle Walker, Danny Rose, Dele Alli na Harry Kane. Wachezaji wengine...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio cha Albino Tanzania

Kisiwa cha Ukerewa ni hifadhi kwa Albino ambao maisha yao yamo hatarin kutokana na imani potovu kwamba viungo vya Albino vinaleta utajiri

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani