Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi wamsifu JK kupangua mawaziri

Mhadhiri wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Ayoub RiobaMABADILIKO madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais Jakaya Kikwete sanjari na kujiuzulu kwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, kumeelezwa kuwa kumenusuru Bunge na msuguano usio na tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mbowe kupangua 'mawaziri’ bungeni

KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema anatarajia kuvunja na kuunda upya Baraza la Mawaziri Vivuli, litakaloshirikisha viongozi wengine wa vyama vya upinzani, wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi waeleza sababu mawaziri kuanguka

Wasomi nchini wametoa maoni tofauti kuhusu kuanguka kwa baadhi ya mawaziri na wabunge maarufu, kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kwamba hali hiyo inadhihirisha wananchi wanataka mabadiliko kwenye utendaji.

 

10 years ago

Habarileo

KUSAFISHWA MAWAZIRI : Wasomi watoa hoja nzito

Profesa Muhongo, amesafishwa na serikali ddhidi ya tuhuma zilizokuwa zikimkabili.WASOMI na wanasiasa wametoa hoja nzito na kupongeza uamuzi wa Tume ya Sekretarieti ya Maadili na Tume ya Uchunguzi ya Rais, kuwasafisha viongozi wakiwemo mawaziri.

 

10 years ago

Habarileo

Kagame, Kenyatta wamsifu Kikwete

Rais wa Rwanda, Paul KagameRAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema hatua ya Mwenyekiti wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Jakaya Kikwete kuhudhuria Mkutano wa Tisa wa Nchi zilizoungana Kutekeleza Miradi ya Miundombinu Ukanda wa Kaskazini ni hatua muhimu katika kufungua utekelezaji wa miradi ya miundombinu katika kanda nyingine za EAC.

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani wamsifu DED anayestaafu

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa limesema bado linahitaji mchango wa Mkurugenzi wa halmashauri hiyo (DED), Bibie Mnyamagola ambaye anatarajia kustaafu Aprili 30, mwaka huu kwa mujibu wa sheria.

 

10 years ago

Mwananchi

Bodi ya Ligi Kuu kupangua ratiba

Bodi ya Ligi nchini imesema italazimika kubadili ratiba ya Ligi Kuu nchini ili kuziwezesha timu za Bara kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi linalotarajiwa kuanza mapema mwakani.

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge wamsifu Dk Magufuli, vitanda 300 vyatua Muhimbili

Wabunge wamepongeza kitendo cha kuwasilishwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) vitanda 300, magodoro 300, viti vya magurudumu 30, blanketi 400 na mashuka 1,695 vilivyogharimu Sh251 milioni.     

 

11 years ago

Michuzi

GODFREY MGIMWA AANZA KUPANGUA MAKOMBORA YA CHADEMA ADAI YEYE NI RAIA MZALENDO WA TANZANIA

Mgimwa wa pili kulia, akifurahi pamoja na wana CCM wenzake, siku ya kwanza ya kampeni zake kuwania ubunge jimbo la Kalenga iliyofanyika katika kijiji cha Mseke  -------------------------------- Na Francis Godwin
MGOMBEA ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amesema hana chembechembe yoyote ya uzungu na amekishangaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kumtuhumu kwamba sio mtanzania..
"Kama kila mtanzania anayekwenda nje ya nchi kusoma anapoteza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani